Kuna kitu hakipo sawa kwako wewe Mwanaume mwenzangu.Hebu funguka yote Ili tukushauri na uweze kufahamu namna ya kutatua changamoto inayokukabiri.Mwanamke Huwa anahifadhi maumivu mengi ya muda mrefu na siku akichoka daima Huwa hakuna dawa ushauri wangu kwako ni maumivu ila mwache aende. Pole sana.
Chadema ikiwa nyie ndio chamba kikuu Cha upinzani lakini pia milijipambanua kama chama Cha demokrasia ni wakati Sasa muidhihirishie Dunia wapi mnapractice hio demokrasia.Mbowe amehudumu miaka mingi inamtosha na apumzike.Haiwezekani eti Chadema nzima mwenye akili,uwezo na haki ya kukiongoza chama...
Haiwezekani kubadilishiwa muundo Kwa kusoma kada hio.Wewe umesomea ualimu bado ila unaweza kuomba Kwa Mkurugenzi wako au Kwa Mkurugenzi wa elimu Ili ukapige kazi Wilayani upande wa elimu.Pia scale ya mshahara Mwalimu Yuko juu kidogo ila marupurupu Mwalimu kazidiwa.Tofauti yao kama 8000 hivi.
Tuhuma kama hizi ni kubwa wewe ni Mwalimu ulipaswa utoe ushahidi.Bila kufanya hivyo unaweza kuzaniwa unatoa majungu tuu.lakini pia ruhusa za masomoni ni Mkurugenzi ndie anayeandikiwa barua na afisa elimu barua huwa inapitia tuu sasa inakuwaje azuie usiende jiendeleza? Au na Mkurugenzi pia...
Pole Kwa changamoto zinazokukabili maana umempoteza ndugu na Kwa kuwa huna koneksheni umeshindwa kupata haki.Jaribu kuwasiliana na igp Kwa namba hizo pengine unaweza kusikiliza.
Mamlaka za maji zinapanga na kulipa mishahara ya watumishi Kwa pendekezo la menejimenti.Hivyo menejimenti ikiamua kulipa mshahara tarehe 22/ kama serikali kuu wanaweza ila Kwa kuwa tunaviongozi wabinafsi na wenyechuki wameamua kutolipa mishahara hadi Leo tena mshahara wa mwezi uliopita wa mwezi...
Iko hivi Kwa kutumia lugha ya picha na kuunganisha dot kama kiongozi analalamikiwa Kwa utendaji wake mbovu na mtu anayepaswa kumuwajibisha alikuja kuongea na sisi wafanyakazi na kuahidi kuchukua hatua Sasa baada ya kuchukuliwa hatua wanapiga picha pamoja huku wakifurahi na sisi wafanyakazi...
Mkurugenzi anaitwa Eng Juma Sudi na Aweso alikuja mara tuu baada ya agizo la waziri mkuu Ili aje ashughulikie matatizo na changamoto zilizopo.Mh Aweso alikuja mapema mwezi February ila baada ya kuyachukua malalamiko yetu yaelekea alimtafuta eng Sudi akiwa masomoni ufaransa na kupiga nae...
Sikukuu yote hii kuanzia ya pasaka na Eid El fitr hatujalipwa wakati viongozi wanaogelea kwenye utajili wa wizi.Mkurugenzi wetu akijunufaisha Kwa kununua majumba mengi hapa Lindi mjini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida MAMLAKA ya maji safi na maji taka Lindi haijawalipa wafanyakazi wake mshahara wa mwezi wa tatu 2024.
Wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na maji taka Lindi mnamo mapema mwaka 2024 mara baada ya ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu mh Majaliwa Kasimu katika ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.