Recent content by Dextereous

  1. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    Kuna mtu mmoja alikuja na kuniuliza, Kaka unapata wapi muda wa kusoma vitabu vyote hivyo? Mimi nikamuangalia usoni na kumjibu, "SIPATI MUDA ILA NACHUKUA"
  2. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Mi natafuta wimbo wa JENIFFER MGENDI - Tumrudie bwana (Mbona washangaa njiani) Nahitaji first version yake maana youtubr nimeona ameurudia mara ya pili. Mi napenda ule original. Pia kama kuna mkenya hapa au mtu anayemfuatilia SHARI MARTINS anipatie wimbo unaoitwa BACK TO MY CHURCH first...
  3. Dextereous

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo/kitu gani ungependa kubadilisha kuhusu wewe

    Soma EAT THAT FROG by Brian Tracy ni kifupi kizur na hakichoshi
  4. Dextereous

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, atanifaa kama mke?

    Siku hiz watu wanatafuta ndoa kwa hali na mali. Inawezekana huyo anapretend ili uingie mtego wa kumuoa. Ukioa tu tabia zote za mwanzo na makucha yote aliyoficha yatachomoza sasa. Kuwa makini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Msaada; Jinsi ya kupata vitabu vinavyouzwa kwenye "google books" kwa FREE

    Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupata vitabu vinavyouzwa bila kulipia.
  6. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana Nyimbo za Shari Martini; Msanii wa gospel toka Kenya

    Habari zenu wadau. Kuna mtu ana nyimbo za Shari Martini (Tana River gospel singers); Msanii wa gospel music toka Kenya. Kama kuna mtu anazo naomba anisaidie!!!
  7. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    Asanteni wadau...problem solved. Nimeuninstall gbwhatsapp na kuweka WhatsApp ya play store.....nimeanza kupata notification kama kawaida Asanten sana nilihangaika sana kutafuta solution youtube na google ila sikupata
  8. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    Kwel yani...ile ya playstore ipo ipo tu. Ila haina budi nifanye hivyo. Maana watu wanalalamika siwajibu message kwa wakat
  9. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    Ok asante sana
  10. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    So what's the solution...nifanyaje maana daah inakera sanaa
  11. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    Natumia tecno
  12. Dextereous

    JamiiForums Tanzania Whatsapp notification Problem

    Gbwhatsapp
Back
Top Bottom