Bora umekiri kwamba kuna watu nyuma yako maana kiuhalisia hicho kishubaka ni kazi ya wale jamaa wa Bara Asia, mlichofanya ni copy & paste na kubadili muonekano tu ili isiwe rahisi wengi kuking'amua.
Katika sinia lako lazima kina chief-mkwawa, Shaffin Simbamwene, @C6, Joe Nyandigira, Nyasiro...