Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

Yaani kuna vichwa jf kama shaniff simbamwene ameniambia maneno ya akili sana wengine wanataka tu wajue wataipata wapi na kuiistallation vp bahadae wakishajua kwishaaa

haha kwa hiyo umesalimu amri
 
haha kwa hiyo umesalimu amri
mkuu kuna mtu sijui nia yake ila anafuta sana thread zangu kama hii imefutwa, ila huyu mod aangalie sana akwenda jf kufanya anavyotaka kazi kama haijui aondoke
 
Nafanya window 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji
Karibu Jamii Forums bwana mdogo, pole kwa kufanyiwa dhiaka humu jamvini maana C6 ndiyo kaka mkuu humu JF tech lakini usife moyo we kaza mwendo.
utafika tu KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
window ipi unataka au swali rahisi iyo mashine yako unaifanyia kazi gani yaani kompyuta, kuna shughuli nyingi unaitumia kama studio? Editing,au ofcn yaani mtu wa microsoft word? Pia mashine yako ina uwezo gani? Angalia ram,cpu,hard disk inawezekana nikakushauli tupige xp tu
Teh teh teh.. Siamini ninachokisoma hapa. C6 unaulizwa specifics . Mtajie usaidiwe
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh.. Siamini ninachokisoma hapa. C6 unaulizwa specifics . Mtajie usaidiwe
hii ndio jf kuna kila mtahalam, wewe ukijua moja mimi najua 2 pia kuna mtu anajua 3 na mwingine kama huyu mod anaefuta hizi thread anajua 0
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anatishia hapa kuweka Windows kwamba ni bonge la kazi ngumu, usikute amejifunza kwa msela wake tu, hapa namkela tu coz inaelekea hajui anachokifanya sasa tangu lini wakaweka Windows kwa 50,000??

si umeona yemwenyewe kasema ye hajaspnea it so kajifunza kwe msela tu afu anakuja tubabaisha hapa sasa ukimpa pc akuwekee Os mbili tofaut kwa pc mja si ata sema 150000 huyu. watu wanajua sana sema hawataki kusema tu wametulia

hata kama anajua sawa sio kila mtu anazo copy za widows so angeshusha bei watu wanapiga windows kwa bei ya mafungu na sio bei ya jumla
 
Karibu Jamii Forums bwana mdogo, pole kwa kufanyiwa dhiaka humu jamvini maana C6 ndiyo kaka mkuu humu JF tech lakini usife moyo we kaza mwendo.
utafika tu KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
sasa wewe kaka mkuu hebu nisaidie maana imekuwa kero, kwanini inakuwa hivyoo huyu mod , anataka nini mbona simuelewiii, inawezekana ajui kazi yake sasa amepatikanaje mpaka kuwa mod' uwongozi uko wapi atambue wenzake wamebuni softwere waendeshe maisha ndio hii jf sio yeye kuja kuwahalibia, c6 hebu nijibu hili kaka
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mkuu wa windows 8, naomba pia uje unifanyie yangu maana naona kama haijafanywa siku nyingi mkuu
 
uiiiii mkuu rahisi ghali unashusha mzigo sawa bahada ya wiki mashine kama imefugwa mawe nzito pia hii windows yangu mpyaa ya septembar 2014 bc nikupigie windows vista

unajidanganya huu ni mwezi wa 7 tangu nianze kuinstall hiyo windows 8 na pc ni nyepesiiii na sio moja nishaweka kwa pc kibao

unaposema windows mpya ya 2014 bado haupo sahihi windows 8 haina upya wowote labda ungesema una windows 9 ya 2014 ila kama 8 ni ileile may be version ambapo mtu ukiupdate ua wibdows unazipata hizo new version.

kitu kingine kwa uzuri gani pc yangu niiwekee windows vista?
 
sasa wewe kaka mkuu hebu nisaidie maana imekuwa kero, kwanini inakuwa hivyoo huyu mod , anataka nini mbona simuelewiii, inawezekana ajui kazi yake sasa amepatikanaje mpaka kuwa mod' uwongozi uko wapi atambue wenzake wamebuni softwere waendeshe maisha ndio hii jf sio yeye kuja kuwahalibia, c6 hebu nijibu hili kaka
Ilifutwa mayb because hautakiwi kupost tangazo la biashara hapa
 
sasa wewe kaka mkuu hebu nisaidie maana imekuwa kero, kwanini inakuwa hivyoo huyu mod , anataka nini mbona simuelewiii, inawezekana ajui kazi yake sasa amepatikanaje mpaka kuwa mod' uwongozi uko wapi atambue wenzake wamebuni softwere waendeshe maisha ndio hii jf sio yeye kuja kuwahalibia, c6 hebu nijibu hili kaka

unataka mod afanyeje sasa je azuie watu wasitie comment kwenye post yako? hilo haliwezekani

angekuwa mtu kakutukana labda mod ndo ungemlaumu

lakini usife moyo hii ndo jf xtcs za binadamu wote zipo humu
 
halafu fanya kuedit hiyo title ww huwezi kutengeneza windows may be andika nafanya installation ya windows 8. ila wewe umesema unatengeneza rekebisha
 
halafu fanya kuedit hiyo title ww huwezi kutengeneza windows may be andika nafanya installation ya windows 8. ila wewe umesema unatengeneza rekebisha
kweli kabisa ilo nililiona ila nashidwa ku edit ila nilijua kwa watu wanaojua kama wewe watajua kosa lilipo,kati ya watu 50 wewe ndio wa kwanza kugundua kosa wewe kichwaa mkuu
 
unataka mod afanyeje sasa je azuie watu wasitie comment kwenye post yako? hilo haliwezekani

angekuwa mtu kakutukana labda mod ndo ungemlaumu

lakini usife moyo hii ndo jf xtcs za binadamu wote zipo humu
sasa mkuu inawezekana kweli wana jf ndio uwa wanazifuta ,sasa wanazifutaje? Hebu nijuze
 
mkuu si hivyo unavyofikiri sivyo kuna mtayalishaji mmoja wa muziki nimemfanyia iyo installation na anafanya kazi zake za mziki na filamu ndio maana nikaawaambia kwa bei easy najua uwezi kuamini sababu si shughuli ya kitoto windows 8 kwani wrngi wanjua sana 7 na xp hapa mpaka vista na linux napiga

we mtu umenifanya nicheke... hata kuweka window nacho kimekuwa kitu cha kujisifu hivyo..... eti siyo shughuli ya kitoto.. nimecheka sana.... hongera kwa kupiga hatua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom