Recent content by DEUS NSHANGE

  1. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    Tatizo la uyu Mhe., ni mzur wa kutengeneza hoja ila uwa ni rahisi kuwa CORRUDED na system.
  2. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

    kwa kweli tunahitaji viongozi wa namna hiyo.
  3. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    wewe unatetea wananchi kwa maslahi ya taifa au unatetea wananchi wako kwa maslahi ya chama cha mapinduzi?
  4. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

    matokeo;UCHAGUZI KATA KIWIRA-CHADEMA_2621, CCM_1649, CUF_13, NCCR 33, JUMLA WAPIGA KURA_11868, WALIOPGA 4341, ZILZOHARIBKA_24. MSIMAMIZ MSAIDZ_ LAUDEN NNALA. NDIE ALIYETANGAZA MATOKEO
  5. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

    Hilo jimbo ni CDM bila kificho. Hata viti vya udiwani navyo vinanyakuliwa na CDM:thinking:
  6. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Heche alipewa kidongo tanga akapanic

    nafikiri wanachadema tujenge chama baada ya kuangaliana boriti iliyo kwenye mboni zetu. Heche anafaa, ndo maana alichaguliwa kuwa m/kiti wa bavicha taifa. La sivyo, tusubiri uchaguzi mwingine. Chadema daima, mbele daima
  7. DEUS NSHANGE

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

    ANAJIPENDEKEZA KWA RAIS ILI AFIKIRIWE KWENYE UWAZIRI:lol:
Back
Top Bottom