Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,147
ppz!!! POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!!!!!!!!!!
Tukaa' tununu gwee!!
Tukaa'tununu fiki nkamu! mtoligwe?:rockon:
matokeo yameshatangazwa,mgombea wa CDM bw Laurance Mwakalibure mwenye miaka 24,amepata kura 2621,Ccm 1649.sasa ni sherehe mpaka saa 6.KIWIRA, NGAPI KWA NGAPI...? na lizaboni pia
Hongera CDM ila cha kusikitisha CCM bado inaweza kupata kura 1706. Hii inabidi ibadilike kabla ya 2015.
ndo lugha gani tena wakuu?fiki bhibhie kangi? Ccm mihijhi
Tukaa' tununu gwee!!