Recent content by Deus J. Kahangwa

  1. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

    Hayati Privatus Mutekanga Karugendo: 1956-2021 Tangu mwaka 1990 nilipokuwa kidato cha tatu katika Seminari ya Katoke (Biharamulo) hadi leo nimemfahamu Hayati Privatus Mutekanga Karugendo (65) chini ya kofia tofauti. Nimemfahamu kama mwanateolojia, mwanafalsafa, mchambuzi wa masuala mtambuka...
  2. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa CHADEMA Karagwe, Adolf Mukono, Wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi

    Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi “Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
  3. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020: Walinzi wa haki za watu ni viongozi wasiotokana na watu au viongozi wasiotokana na watu ?

    Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika kitabu chake cha "TANU na Raia" Miezi nane kabla ya 9 Desemba 1962, siku ambayo Tanganyika ilitangazwa kuwa ni dola ya kijamhuri, yaani mwezi wa April mwaka 1962, hayati Julius Kambarage Nyerere aliandika kitabu chenye kurasa 8 kiitwacho...
  4. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vitendawili vya uchaguzi(1): Kupinga sera ya kutenga dini na siasa ni kunadi sera ya kuunganisha kofia hizo

    USULI Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili kimojawapo ni swali lifuatalo: Kati ya Taifa linalotekeleza sera ya kutenganisha kofia ya kisiasa na...
  5. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua kwa MKurugenzi wa NEC, Dk. Mahera: Yahusu kuenguliwa kihuni kwa Amos Kahwa, Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga Karagwe, Kagera

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dodoma, YAH: KUENGULIWA KIHUNI KWA AMOS PETER KAHWA, MGOMBEA UDIWANI KATA YA KAYANGA, WILAYANI KARAGWE, MKOANI KAGERA Somo...
  6. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Kwa nini unaona kuwa mradi huu ni ujinga mtupu?
  7. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Mpango uliopo ni kutumia utaratibu wa PPP, yaani ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi. Sekta binafsi itachangia kama mwekezaji. Wawekezaji wa ndani na nje watakaribishwa. Serikali itachangia kama mmiliki wa mradi.
  8. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Hakuna jinsi. Mradi wa TZS Trilioni 255 ni sawa na bajeti ya nchi ya miaka 9. Kwa hiyo, kukopa na kuhimiza mtaji kutoka sekta binafsi ni lazima.
  9. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
  10. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Hata usuli wake wenye maneno 300?
  11. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Basi, pitia usuli ulio mwanzoni mwa makala hii...
  12. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Hadhira yangu ni watu wenye uwezo mkubwa wa kusoma kurasa 22 za A4 zenye font size ya pointi 12 kwa saa moja. Wasomaji wenye uwezo mdogo tumeshawaandikia zao via MwanaHalisi Online na Raia Mwema. Vinginevyo, ukisoma Usuli mwanzoni kabisa inatosha.
  13. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
  14. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

    Je, ni sahihi kwa Taifa kuingia gharama za uchaguzi katika maeneo ambako asilimia 99.9 ni wagombea wa CCM pekee? Narejea takwimu rasmi za serikali zilizotolewa na Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Jaffo. Alise kuwa CCM walisimika wagombea kwa 74%, CHADEMA wakasimika wagombea kwa 19%, CUF wakasimika 4%...
  15. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Kuhamasisha Uwekezaji Mkoani Kagera: Ratiba, Muhtasari wa Mwongozo na Mwongozo Kamilio

    . Ndugu yangu, wakulima hawajalipwa stahiki zao. Lakini, tatizo hilo halituzuii kuhamasisha uwekezaji, na hasa uwekezaji wa kuendeleza kahawa yenyewe. Tunahamasisha uwekezaji bila kufumbia macho dhuluma iliyotendeka. Unajua kwa nini malipo ya kahawa yanakuwa magumu? Tutafakari pamoja kwa...
Back
Top Bottom