Recent content by Destin

  1. D

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    NAPATA SHIDA KUAMINI HAYA YA MWASISI ! Kwa nini hisia ndio iwe suluhisho la kudhania na kuamua? Hivi mchawi au wachawi lazima watokee kwenye kambi inayopingana nanyi kisiasa? Tuangalie pia hulka za wanachama wetu wenyewe ndani ya chama,tabia zao na kadhalika. Migogoro yetu inatokana na nini? Na...
  2. D

    Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

    Usifunike uso wakati mwili umeuacha wazi...Kwani magazetini haikuandikwa??? Soma hoja ya mdau vizuri
  3. D

    Serikali, Hakuna suala la kumwangukia PAUL KAGAME, acheni upotoshaji

    Jiamini na nchi yako,acha woga mpaka kuonekana kukosa uzalendo...
  4. D

    Ratiba za F.B.I inasemaje kuhusu Viongozi wa Upinzani kuonana na Rais wa Marekani Obama?

    Rais Obama amekuja kwa ziara maalum ya serikali ya Tanzania,hakuja hapa kuzungumza na vyama vya siasa au vyama vya kiharakati nk. Jambo la msingi na muhimu hapa ni kuangalia ujio wake unatufaidishaje kiuchumi. Wengine wanalalamika hatujui anakuja kufanya nini au hatujaalikwa...juhudi wafanye...
  5. D

    Ngumu kumeza kwa CHADEMA

    Siku zote pale binadamu anapokosa ujasiri wa kupokea hoja za wengine na kubakia kubeza na kujiaminisha tayari ni udhaifu mkubwa,na kwa maana nyingine ni "WOGA"........Ukweli huuma lakini mtu jasiri huupokea na kuufanyia kazi. Naunga mkono hoja.
  6. D

    Mdomo wa LEMA ni hatari kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla

    Viongozi wajifunze kutafakari kabla ya kuongea...haijalishi mtu yuko chama gani au hana chama...kwenye hili Lema amekosea...tusipende kuendekeza ushabiki usiokuwa na manufaa kwa Taifa.
  7. D

    Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Ushabiki mwingine si mzuri...hakuna jema hapa zaidi ya hilo la kusema mamlaka husika ifanye kazi yake juu ya hili. Ninachokiona hapa ni matamshi ya kuongeza matatizo na sio suluhisho. Hivi tunakwenda wapi kwa kushabikia upuuzi,kwa nini kila jambo linawekwa kisiasa??? Hivi mbunge hana njia...
  8. D

    Kumbe CHADEMA hii ndio sababu ya kumkashifu Kinana?!!! Sasa naelewa

    Ipo siku Watanzania watajua ukweli,siasa hizi si za mwelekeo bali ni ushabiki uliogubikwa na giza nene kabisa...hivi si huyu aliyeitwa na TBC juzi juzi katika kipindi cha mahojiano asubuhi halafu hakutokea !!!! Akipigiwa simu anasema kama dk 2 nitakuwa nimefika studio...ajabu hakutokea mpaka...
  9. D

    Matokeo ya form four 2012 - Je na Teknolojia ya mawasiliano imeangaliwa??

    Wanasema kila jambo lina uzuri na ubaya wake...hivi karibuni tu Taifa la Tanzania limepokea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya,kwenye hili tunazungumzia matokeo mabaya na ya kutisha ambayo hayajawahi tokea kwa kipindi cha mwaka 2000 mpaka kipindi hiki ya...
  10. D

    Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

    Ni Watanzania kama watanzania wengine na wanayo haki ya kikatiba kukaa chama wanachokitaka. Mabadiliko ni watu na chama chochote kile ni kama chombo cha kufikia tu. Inawezekana pia vyama vinavyotaka kuingia vikabadilika pia.
  11. D

    Lema arejea ofisini rasmi,ala kiapo kutomtambua meya wa jiji

    Kiongozi anatakiwa aanze kuangalia atafanyia nini wananchi wake,muda umepotea mwingi kwenye kesi tayari...haya ya kutambua au kutotambua kwa sasa hayana msingi wowote...kutotambua ni kuanzisha migogoro na kuendelea kurudisha na kupoteza mwelekeo wa maendeleo...Hebu Mh awe makini na kuheshimu...
  12. D

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Tuna hatari kubwa sana linapokuja suala la SIASA,tunaongozwa na fikra za kishabiki mno badala ya kupima hoja,kuitafakari kwa kina na kupata msingi na majibu ya hoja hiyo......safari yetu kisiasa bado ni ndefu...itafika mahali wote tutaelewa pasipo kudhuriana...MUNGU ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom