Hii mbona kama chai:-
1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000
2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka...