Changamoto za Smart TV.

Gustavo Gaviria

JF-Expert Member
Nov 19, 2018
630
1,109
Mods nimekosea jukwaa, naomba mhamishe kwenye jukwaa la Tech.

Wadau kwema?

Ninahitaji kuchukua Smart TV, aina ya Star X inch 43

Ninaomba ushauri kuhusu ubora wake na changamoto zake na namna ya kuzitatua, kwa maana za kusikia ni kwamba smart tv huwa zinastack inapoanza kuwaka, ja ninahitaji kupata ukweli, ili niwe na ufahamu mzuri ninapokwenda kununua...maana kahela kangu ka kujichanga sana.

mchango wenu muhimu sana.
 
Wakuu kwema?

Huyo smart tv itakuwa ni mpenzi wako ambaye unataka kufunga naye ndoa? Maana kama umeamua kutuzunguka halafu tujitafsirie wenyewe.
 
Mods nimekosea jukwaa, naomba mhamishe kwenye jukwaa la Tech.

Wadau kwema?

Ninahitaji kuchukua Smart TV, aina ya Star X inch 43

Ninaomba ushauri kuhusu ubora wake na changamoto zake na namna ya kuzitatua, kwa maana za kusikia ni kwamba smart tv huwa zinastack inapoanza kuwaka, ja ninahitaji kupata ukweli, ili niwe na ufahamu mzuri ninapokwenda kununua...maana kahela kangu ka kujichanga sana.

mchango wenu muhimu sana.
Ipo vizuri kabisa
 
Smart Tv ndio zile flat, mi nazipenda sio nzito, unabeba huku unapeleka kule. Changamoto yake hazina sehem nyingi za kushikashika kama zile za chogo.
 
Back
Top Bottom