Recent content by Desierto

  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ameacha ufundi electronics yeye anaenda kusomea udereva daraja c

    Hatumzuii au hatumpingi mtu ila tunampa tu ushauri yeye ataamua aubebe au autupe Kuna mdogo wangu alitoka kijijini juzi kamaliza form4 mwaka jana. Sasa alikuja kama na laki 3.5 hivi lrngo akasomee udereva. Ila kwa upendo tu nikaona nimpe ushauri wa kuchagua. Nikamshauri kuhusu ufundi wa...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

    Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane. Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha. Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu. Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Hajawahi kutumia miwani mkuu na hapendi anasema inamuumiza hajazoea
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita. Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu. Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mabango ya kuwaka gharama zake huwa zipoje

    Nimeshindwa kukufata dm
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mabango ya kuwaka gharama zake huwa zipoje

    Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu. Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka kumtengenezea mteja nimchaji ngapi? Ni kubandikia tu stika basi. Ni flat flat kweli sio zile zinakaa taa kwa nyuma.
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulihusishwa nacho au unahusichwa nacho lakini hukuhusika

    Ksamba wanakusingizia unabugia Mbona hata ule uzi wako ubahusu hii kinywaji uke wa mada za wanywaji na walevi
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Urafiki sa mwanamke na maanaume ubakufa maramoja tu pale wakishakutana kimwili.

    Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki ulikufa.
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulihusishwa nacho au unahusichwa nacho lakini hukuhusika

    Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa. Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike kwa sasa tuna miaka zaidi ya miwili tupo wote kirafiki tu ila watu wengi sanafikiriaga nagembea nae...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto. Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife...
  11. Desierto

  12. Desierto

  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni uvumbuzi upi unakushangaza sana katika ulimwengu wa teknolojia?

    Namba kuwa na masafa yaani ukiandiaka 07 badala ya 70 umepishanisha masafa
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika tu bei nauzaga kitu changu bila kupanga

    Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani. Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni. Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
Back
Top Bottom