Benjamin hawajiungi mjomba ple ni HQ hapo lazma uende ilala boma ple ,,na hukujiungia benjan cx ndo utaenda chukua form kulingana kampuni yako ilipokuwa na ilikuwa upande wa ipala zones au temeke au ubungo plaza,konondoni au kigamboni darajan aubezi nk
Benjamini ukafanye nini sasa duuuh makao makuu ndo waanatoa mafao yalo au mikoani kulingana na ulikokuwa ,,nataman niwape somo humu bt ngoja tu maana mnavyoiongelewa nssf sivyo ilivyo kiuhalisia kuna mambo meng sanaa mazuri na yapo kwa lengo la kukufanya usijutie kuwa mwajiliwa na msipotoshane...
Kuna mambo sio mpka utangaze watu tujue ili iweje kama ulikuwa member wa group hilo ulitakiwa ka ulivyojiunga pia mmalizane hukohuko alaf unaleta taarifa hapa sis sasa mahakama au wasuluhishi kwan vijna tz tunamatatizo gani wewe mtu wa elimu ya juu kabisa unaleta kujaza uzi mambo ya kijinga hivi...
Naomben kujua hasa historia ya mtu hyu ambae inaaminika ndo muasisi wa siku ya Valentine day na nataka kujua hasa nn kilikuwa nyuma ya pazia na nn hasa kilipelekea hdi akawa ndo muasisi wa siku hii ya wapwndanao duniani wanajambi msaada plzz mwenye deeply information na kwa mifano...
KKa mshana samahana kwa kuku sumbua pia unaweza nisaidia chochote hpa et kuna swali linasema ,,media an operate ethically and statutory in Tz ,discuss . hili swali nalishindwa kulielewa naikaona kaka mshana mtaalamu wa ulonzi na uganguzi unaweza nisaidia maana una elimu dunia na elimu ahera so...
Ttzo jaamn hpa hatutaelewana katu CX tymekutana pande mbili zenye iman tofaut yaan siku zote ukipangwa kuwa opposer's hta kama kinachozungumzwa unaelewa kuwa yuko right mzungumzaji BT kwa vile tu ni umewekwa upande wa mpingaj you should oppose BT tukija kwa proposers huwa wanakuwa wanatetea kit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.