Nani kasema? Hivi wewe unafikiri EL ni mjinga kiasi hicho atoke CCM? Kama ni kutoka CCM atatoka mwingine lakini si yeye. Anajua kabisa akitoka amejimaliza. Hata hivo nani wa kumpokea UKAWA? Kwan viongozi wa UKAWA ni dhaifu hata wamsubirie ED aje kuchukua nafasi ya mtu? Yeye labda akajiunge huko...
Mimi naona unajifurahisha tu ila kwa sasa naona eti Nyinyiem ndo mmekaa sana na kwamba watanzania wameshachoka na lazima yawepo mabadiliko. ACT bado fanyeni kazi kwanza naamini miaka 20 ijayo mnaweza kuwa na wabunge wengi, kwa sasa bado na hasa ukizingatia mpiga debe mkubwa ni ZZK ambaye...
Mkuu hilo wimbi ni lipi? mimi naona kama punje kumi za mchanga katika lori zima la mchanga!! Sijaona kama kuna kilichopungua, sana sana hao wamepotea tu kwa uangalizi wa mtu badala ya kuangalia taasisi. Hivi lakini kwanini watu wanapenda kuwa wabinafsi?
Zito ni mbinafsi mwenye tamaa sana ya...
Well said Kamanda, hata mimi sioni sababu ya kulialia kote huku, Pendeni kujitegemea na msipende kushiriki mambo yanayoweza kuwatoa katika imani yenu. Hivi lakini mnataka nini au ni ili ionekane kuna kitu cha msingi mlichonyimwa ili sasa baadaye kianze kugharimu maisha ya watu kama mnavyochomaga...
Nikukumbushe: Labda nikuulize tu mkuu kuwa, hv kama EL hafai kwa ajili ya ufisadi ni nani anayefaa kwenye Manyinyiem? Manake wote hakika wameoza tena ile ya kabisa. Ni nani msafi huko????? EL afadhali zaidi manake alibeba mizigo ya watu na inafahamika hivo.
Ni kweli mkuu BIGURUBE lakini huwezi jua, yanaweza kufanyika maridhiano na kusameheana lakini jamaa akawa kumbe alikuwa hamaanishi; kumbe anaendelea kutumika na Nyinyiem halafu kwenye point za mwishoni akaibua li ugomvi na mmoja wa wategemewa wakafikishana pabaya na jamaa akapoteza sifa za...
Du! wakuu lakini inaonyesha naye EL amechoka, ila mimi naona akisha kuwa Rais tu na akapatiwa kile chakula anachokulaga malkia - Royal Jelly huo mwili na akili vinarudi kuwa vipya kabisa. Hebu tumpeni urais muone.
Siyo Mahakama ya kazi ni Kadhi sasa aliyeizuia ni nani jamani? Kwani serikali inahusiana nini na mahakama hii? Kuna mambo itafanya yanayohusu serikali? Mimi nafikiri anzisheni mahakama yenu, fanyeni chochote lakini sheria ibaki palepale kuwa serikali haina dini. Hatutaki watanzania waanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.