Recent content by der hustler

  1. der hustler

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    LEO YANGA ANASHINDA GOLI 2...MARK MY WORD
  2. der hustler

    Naombeni mnichagulie jina la mtoto wa kike

    Ilitokea bahati mbaya...
  3. der hustler

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Kabisa mkuu...walalamike wafanya biashara waliokua wanakwepa kodi hapo inaleta mantiki kwa mtazamo wao.
  4. der hustler

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Acha kufuru paka wewe...ulikua na connection gani na magufuli hadi akuue ..au kuna ndugu yako gani aliuawa na magufuli.
  5. der hustler

    Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

    Next time usirudie kusikiliza love songs when u ar break up..kula hip hop utajiskia poa ...hizo za kubembeleza zina tendency ya kuongeza mastress!!
  6. der hustler

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Kwanini asielezee changamoto zinazotukumba sasa...???uthubutu upi ??
  7. der hustler

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Huyu jamaa alinyimwa posho na JPM...anashindana naye daily lkn bado anashindwa...ifikie hatua amuache mzee wa watu apumzike kwa amani
  8. der hustler

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo kali sasa...mnabetia hata watu kuumia..
  9. der hustler

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpe yanga .inter milan b. Dortimund mwisho sevila. Tupia AFTATU kula utulivu..u'll thank me later.
  10. der hustler

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    MUNGU tu atusaidie naona tumeshadumbukia shimoni tena gizani...hatujui mustakabali wa baadae.. Walkingdead kabisa..
  11. der hustler

    V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Chawa kama hao wanatia kinyaa! wanaharibu hata jf imekua kama arena ya michambo..sioni tena dhana ya greatthinkers.
Back
Top Bottom