Recent content by Deoshayo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Muheshimiwa kafeli kalimbikiza mno, sasa inakuwa tabu sasa. Ona sasa tunavyofeli!
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Ndio ijulikane yupo Mungu anayeishi,awazaye tofauti na mawazo ya wanadamu!!!! Mamaaaaaaa!!!!!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

    Warombo Mungu anawaona. Ila nyie kiboko ya wasalitii
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Mzee Slaa aliacha vyote akachagu Kuowa na Siasa
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

    Dr slaa.,alivyotamani kuowa aliacha upadri kabisa akaambatana na mke wake na siasa Mim naamini hilo ndilo fungu jema.,Ngwajima aache uaskofu achague siasa. Mfano wa Papaa kuwa Rais wa roma,ikumbukwe roma ndio makao makuu ya kiroho ya Kanisa Katoliki la Mitume Zinapofanyika taratibu za kumpata...
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

    Kwani huko ni peponi useme tusipoenda tutakuwa tumepata asara ya milele
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuhuma ya DPP kwa wabunge: Tutegemee nini kutoka kwa Spika?

    Hatufanya kaz na DPP!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Familia: Msomi mwenye elimu bila pesa hubezwa ila mwenye pesa bila elimu husikilizwa zaidi

    Uliza wanasiasa kama bila hela unaweza pata ubunge labda wa kuteuliwa!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Familia: Msomi mwenye elimu bila pesa hubezwa ila mwenye pesa bila elimu husikilizwa zaidi

    Hata Marekani ,usipokuwa na hela upewi Urais.,sasa unashangaa nini hapo!!!!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mkopo NMB: Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

    Wanarakiwa wakuelimishe kabla hujachukua mkopo!!!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania CAG anatakiwa kutangaza kuachia ngazi mapema

    Tunawasubiria 2020 tutawanyoosha bado mwaka mmoja,tunayaivathi moyoni!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli adai kuwa Maendeleo Musoma yamechelewa kwa kuwachagua Upinzani

    Huku kwetu Kilimanjaro ni upinzani na maendeleo yapo poa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Si umwambie umpeleke kwa baba yake unasubiria nini
Back
Top Bottom