Recent content by deolekule

  1. D

    Msukuma: Rais Magufuli apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa hadi 2019

    Mjinga yule hata akili hana,wabunge wengi wa chama cha kijani hawana akili nzuri,unategemea mbunge kama huyo atachangia nn bungeni!
  2. D

    Hofu ya Magufuli kuua upinzani haikuanza leo, CCM tembeeni kifua mbele wanakufa kweli

    Kama obama alikuwa mpinzani wakati flani,kama david cameroon alikuwa mpinzani wakati flani kwenye mataifa tajiri kabisa duniani,basi sahau kuhusu makofuli kuua upinzani tz,wahusika wa richmond wapo mbona awachukulii hatua!
  3. D

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Kwa mwanaume yoyote lazima uhumie lkn ukweli ni kwamba kama mke ukumkuta na bikira huna aja ya kuumiza kichwa,tujiulize ni wanaume wangapi wamebahatika kukuta bikira kwa wake zao.anza kumlinda mkeo toka siku mlipofunga ndoa na usitake kizijua habari zake kabla ya ndoa yenu!
  4. D

    Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

    Mtasubiri sana!
  5. D

    Umaarufu wa Lissu Kupotea kwa Kasi: Ni Kutokana na Umahiri wa Naibu Spika, Dr Tulia

    Hayo ni mawazo yako lissu ataendelea kuwa juu milele maana yeye ndiye mpinzani sio zitto anayesifiwa na watawala wakati yeye ni mpinzani.yatamkuta ya cheyo na mrema ila lissu atarudi bungeni miaka yote
  6. D

    Upinzani wamejipatia sifa ya utoto bungeni

    NI KWELI MAANA MTOTO HANA DHAMBI NA YESU ALISEMA UKITAKA KUONA UFALME WA MUNGU HUNA BUDI KUWA KAMA MTOTO MDOGO KWA KUWA UFALME WA MUNGU NI WAO.watafuteni wataalam wa saikolojia wawaambie sifa kuu za mtoto,alf ndio mtajua makofuli alisifia au aliponda ukawa.
  7. D

    UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    Makofuli aonyeshe uungwana kwa vitendo,yeye kama rais anajua matokeo halisi ya zanzibar,kama anataka kuwa kipenzi cha watu aanze na kumtambua maalim seif kama rais,aache kishabikia chama cha mapinduzi.isije ikawa HAPASTORY TU,HAKUNA KAZI#
  8. D

    Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

    Italetwa na ccm
Back
Top Bottom