Recent content by deojames

  1. deojames

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kama "KAMANDA" inatakiwa ipewe tuzo ya wimbo bora ya muda wote

    Hizi nyimbo zilikuwa on fire sana, yaani hata mistari ukiisikia unaona inavyotiririka na ujumbe. Sio kama currently songs.
  2. deojames

    JamiiForums Tanzania Network ya 5G kwa Vodacom na TIGO

    Kweli hapo bando ni balaa yani hiyo test tu imekulamba 400mb+ duhh!🤣🥺
  3. deojames

    JamiiForums Tanzania Equatorial Guinea: Teodoro Nguema ashinda tena Urais kwa mara ya 6

    Hapa naungana na yule mdau aliyesema utajiri wa nchi si rasilimali bali ni akili
  4. deojames

    JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Umenikumbusha jombi enzi hizo alikuwa anatikisa sana huku mbeya niiikuwa nasikia kuwa alikuwa anatoa taarifa kabla ya tukio sasa sijui ilikuwa kweli au ni stori za kizushi
  5. deojames

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mchungaji Mchawi (01)

    Jamaa naona kalala mbele
  6. deojames

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Naona kiherehere cha mama mdogo kitakuwa kimekoma😂😂
  7. deojames

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nadhani ni 2004/2005 final. Refa alituua sana ile game
  8. deojames

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Ulichokitafuta umughaka utakipata😂😂. Subiri baba mdogo arudi
  9. deojames

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Mwaka huo nakumbuka shule songea tulikuwa tunanunua sahani ya wali tsh. 100 na unapewa na ofa ya chai baadhi ya mgahawa. Nadhani itakuwa ndio hiyo😂😂
  10. deojames

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi yatokea nchini Burkina Faso

    Mojawapo ya viongozi wazalendo wa africa. Tungekuwa nao kama hao bara letu lingefika pazuri
  11. deojames

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waliofariki kwa Ebola wafika 23, mgomo wa madaktari waungwa mkono

    Hii ebola kwani hainaga chanjo au tiba mpaka sikuizi?
  12. deojames

    JamiiForums Tanzania Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

    Hapo kwenye gawio mbona sijampata vizuri! Benki isipo toa gawio si ndio itafaidika zaidi? Au alikuwa anamaanisha haitapewa gawio?
  13. deojames

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    sudo make clean
  14. deojames

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

    Kazi zinasheria zake lazima ufuate. Kwa mfano viwanda vya chakula haitakiwi mtu aliyena magonjwa kama typhoid, amoeba etc, kufanya kazi mpaka atakapotibiwa ndio maana kunakuwa na taratibu za kuwapima Wafanyakazi kila mda. Na hiyo ni standard ya food safety.
Back
Top Bottom