Recent content by Deogratius Mwalongo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    dahh wasomimi wa sikuizi wanaumiza sana mioyo yawatu kweli mtu unakaashule zaidi ya miaka20 then mtu anakuja kukupa vijicent unubalikusaliti mamilion ya watu just kwasasababu yatumbo EEEEEEHHHHH MWENYEZI MUNGU WAPE HEKIMA WATU HAWA. AMAN
  2. D

    JamiiForums Tanzania CCM inapotumia ndege ya serikali kwenye shughuli za kichama - Tazama picha

    yaani kunawakati huwa najuta kwanini nimezaliwa nchi hii eehh MWENYEZI MUNGU NISAMEHEE KWA HILI
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kama ZITTO angekuwa M/kiti CHADEMA

    Daahh huweziamini hawa ndio wanajiita wasomi wasikuizi wako kwamanufaa ya matumbo yao na familia zao basi!!!!!!!!! nasi wananchi wanyonge kama enzi za mwalimu inasikitisha sana TANZANIA YA LEO
  4. D

    JamiiForums Tanzania ....UJANGILI: Kagasheki amfikisha RCO kwa IGP...

    Daahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!inaumiza sana kamatumfika huku.. tutakumbuka sana enzi za mwalimu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya Uswisi: Mkakati wa Kumchafua Mbowe Wanaswa, Magazeti Matatu kutumika...

    Jamaa wamenisikitisha sana yaani sitakikuamini kama uwezowakufikiria wahawajamaa wanaotakakumchafua mbowe umeshuka kiasi hiki hii niaibu na fedhea kubwa sana any way lets wait and see
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mzee mangula umevaa nn sasa?

    Daaaah!!!!!!!!!!!!!! mzee labda yuko bzee ilahatakamani ubize mzee kakateleza kidogo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Enzi Hizo Hii Kitu Nilipambana Nayo Sana Siku za Jumamosi Jioni. Wewe Je?

    dahhh ilinifaa sana kijijini marangu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Udsm in photo

    Mambo ya enzi za mwalimu haya. Iasikuizi ni chukua chako mapema
  9. D

    JamiiForums Tanzania uchokozi huo

    Dahhhhhhh hii sasa ni hatari sana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nyumba alioiacha baba wa msanii 20% mzee kinzasa iliyopo kijijini kimanzichana ( RIP mzee

    Mzee alikuwa na vision sema ndio hivyo tena
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwana JF alifumaniwa na kumbilia police, unamfahamu...?

    Dahhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!! Duniainamabo
  12. D

    JamiiForums Tanzania kikwetukwetu

    umenikumbusha enzi hizo tunajipanga hivi halafutunashindana kupiga mbizi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete awaita Mbowe, Lipumba, Mbatia Ikulu

    Kwauelewa wangu nafikiri huundoustarabu tunauuhitaji katika TANZANIA YETU lakini mh rais ulichelewa kidogo kuamua
  14. D

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

    Kila jambo lina mwisho inawezekana madiwani hawa wa ccm wamekaa wakatafari sana wakaonanibora wasitishe siasa chafu kwamaslahi ya wananchi wa ARUSHA hakunahaja ya kufukuzana tunapotofautiana kifikra
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

    Kwakweli huu niufisadi wakutisha nadhani kwa busara ya kawaida TRA Wange wapatia bure hizo mashine ilikuondoa mivutana isiyonamsingi
Back
Top Bottom