Habari!
Achievers club Tanzania inaleta kwenu uzinduzi wa kitabu cha mambo ya ujasiriamali kilichoandikwa na Mr Deogratius Kilawe(President wa achievers club Tanzania) julai pale Holiday INN Hotel dsm,Kuanzia saa nane mchana mpaka saa 1 usiku,Mgeni rasmi ni Balozi Dismass Nguma, na Pia...
Dunia sasa ni kijiji hamna namna ya kufanya kuepuka, ni uwanja wa kukabiliana na yote hayo mazuri na mabaya.
Nimekutana na mikasa mingi hapa kwetu afrika watu wengi wakitumia intaneti pasipo faida ya kiuchumi au kijamii na kuwaletea majanga ya kupoteza rasilimali muda pasipo sababu rasmi.Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.