Kampuni mpya ya ushauri,yatabiriwa kuhodhi soko la ushauri tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni mpya ya ushauri,yatabiriwa kuhodhi soko la ushauri tz

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Deogratius kilawe, Jun 13, 2012.

 1. D

  Deogratius kilawe Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hebu funguka kidogo. Fafanua.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Imetabiliwa na nani? Mkuu kama ndo njia za kujitangaza hao unao washauri inakuwa vipi? kwa hii staili yako nina wasiwasi na hao unao washauri, make wewe mwenyewe kujitangaza huwezi sasa utawashauri vipi watu wajitangaze wakati wewe huwezi?

  Na kwenye swala la Biashara hakuna kutabiliwa labuda kama umeenda kwa MGANGA KAKUTABILIA, ila kwenye biashara ni strategies zako tu ndo zitakazo kutoa na si kutabiliwa, WANAO KUTABILIA WANAKUDANGANYA,
   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  WW mtoto wa Mzumbe mbona hiyo kasi unayokuja nayo JF ni kali sana?
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Majirani zetu wataendelea kunyang`anya fursa zetu kwa mambo kama haya. Kichwa cha habari kingine na maelezo yanayofuata mengine !!!!!!!.

  Anyway, nikipata muda nitasoma kupitia link yako.
   
 6. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  umejitahidi kujitangaza lakini ungetafuta mtu mwenye weledi na hayo mambo kampuni yako na picha zilizopo kwenye kipeperushi chako haviendani kwanza ni wazungu , na rangi sio za kampuni kama yako, heading yako pia inakinzana na ukweli ndani ya kipeperushi chako JIPANGE.
  *Unaweza kuwa na wazo zuri ila ukilifikisha vibaya linakuwa baya narudia tena JIPANGE .
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  dogoooo...hata mubuyu ulianza kama muchicha...kuteleza sio kuanguka...paukwa pakawa...ndondondo si chururu...better said than never...komaaa nao ..MUGUU WA SHINGOOO MUGUU WA ROHOO MPAKA KIELEWEKEE..2TATOKA 2.
   
 8. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mtindo huu wa watu kuleta matangazo yao ya biashara kwa namna hii umekuwa mwingi na unaudhi sana. moderators wanafaa kuliangalia hili please!!!!
   
 9. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Vijana wenzangu wa kitanzania nawashauri tubadilike hasa ukizingatia kwa sasa dunia ni kijiji na tupo katika jumuia za ushirikiano mbalimbali, tusiwe wasiri, tusikuze mambo yetu zaidi ya vile yalivyo, tuwe wabunifu, tuwe na mazoea ya kujifunza kutokana na makosa tunayofanya, na tujifunze kutoka kwa wale wanaofanya vizuri kuhusiana na kile tunachokifanya... tuache kucopy na kupest... kwa biashara uliyoitangaza nilitegemea ungekuwa na ubunifu na maelezo ya kitaalamu yanayojieleza kila mtu bila kujali akili, uwezo wa kielimu na umri angeelewa, sasa utawezaje kumpa mtu consaltation service kama wewe mwenyewe una mapungufu...Nakupa support kijana mwenzangu ila mjipange.
   
Loading...