Hisa za facebook zashuka ghafla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hisa za facebook zashuka ghafla

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Deogratius kilawe, May 30, 2012.

 1. D

  Deogratius kilawe Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  To invest in shares you need to be cleaver
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 10,745
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  Si ajabu. who needs 200 friends anyway? Wote wa hao wa nini? Urafiki wa facebook wa mashaka kweli.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Short this sucker until the single digits.
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hata za CRDB zimeshuka toka 150 hadi 125 sawa na 16.67% ni zaidi ya anguko la Facebook
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Fanya mchezo nakuoa mchina nini labda Wamarekani hawajafurahia ndoa yake aliye funga na mchina.
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,997
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Imekua vizuri kwa sababu nadhani wamepunguza waviziaji ambao hurukia hisa ili kutengeza pesa za chapuchapu kwa mamilioni. Hii hisa ingekua vizuri kuanzia kati ya Dola moja na Kumi, kiasi hata watumiaji wake wapate uwezo wa kuwekeza katika kitu wanachotumia. Hata hivi kunawaviziaji kama vile (Hedge Funds) wamekausha. Wanaonunu hisa kwa kuafuata uvumi, ndio walokula mwata na kukimbia. Hii Kampuni haindi popote angalau sio sasa hivi. Mwenye uwezo wa kununu anunue. Hivi karibuni wamechuma Dola Bilioni Moja, lakini nadhani hawapendi thamani ya hisa yao isikurupushwe kwa uvumi.
   
 9. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 7,713
  Likes Received: 1,316
  Trophy Points: 280
  CIA wanadai facebook is "the reason why we invented the internet."

  <strong>
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...