JINSI YA KUTUMIA INTANETI KWA FAIDA(MFANO KAZI,BIASHARA,MAISHA nk)

May 29, 2012
10
8
Dunia sasa ni kijiji hamna namna ya kufanya kuepuka, ni uwanja wa kukabiliana na yote hayo mazuri na mabaya.

Nimekutana na mikasa mingi hapa kwetu afrika watu wengi wakitumia intaneti pasipo faida ya kiuchumi au kijamii na kuwaletea majanga ya kupoteza rasilimali muda pasipo sababu rasmi.Mara kadhaa imenitokea wakati nikiwa miaka ya mwishoni mwa 1990's na mwazoi mwa mwaka 2000's wakati ndio nilikuwa nipo sekondari nikiingia intaneti café pasipo sababu maalumu, mara nimefungua tovuti hii, ile na kwa kuwa sikuwa najua tovuti mbalimbali nikabaki najua google, yahoo, na baadhi tu, lakini kumbe kulikuwa na
tovuti muhimu sana ambazo nilikuwa nakosa kupata taarifa nilizokuwa nazihitaji.

Nimeamua kwa moyo mkunjufu kushirikiana na umma kujua hili jambo, naamini sio wote lakini ni wengi huingia mitandaoni pasipo au hutaka kupata taarifa lakini kwa sababu ya kukosa taarifa ya tovuti gani nzuri na hivyo kuishia kukosa taarifa muhimu.

UKITAKA MAMBO YA BIASHARA:
World's Largest Professional Network | LinkedIn
Welcome to RICH.CO.KE - Authorised Nairobi Stock Exchange Data Vendor
MergerNetwork Business For Sale Listings - Buy Or Sell Businesses
www.tanzaniaachievers.blogspot.com
GuideStar nonprofit reports and Forms 990 for donors, grantmakers and businesses
Expedia Travel: Vacations, Cheap Flights, Airline Tickets & Airfares
Official Web Site of The Secret
Coupons and Financial Advice » The Simple Dollar
Motivational Speaker, Keynote Speaker, Bestselling Author, Azim Jamal | Corporate Sufi
Website Hosting - Mysite.com
CNN MONEY

MIKUTANO NA USAHILI/INTERVIEW YA ONLINE:
Ecamm Network: Mac, iPhone and iPad Software and Accessories
Free MX Skype Recorder
PartnershipSeminar
InstantConference - Free Conference Call Service
Conference Call Services Provider | Free Conference Calling

TAARIFA YA HABARI ZA TANZANIA, AFRIKA NA DUNIA
MICHUZI
Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
CNN.com - Breaking News, U.S., World, Weather, Entertainment & Video News
Millard Ayo
jamiiforum.com
Breaking News, Analysis, Politics, Blogs, News Photos, Video, Tech Reviews - TIME.com
BBC Swahili - Mwanzo
Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran

MASWALA YA KIROHO ,HALI YA HEWA , AFYA,UBINADAMU PAMOJA NA KUJITOLEA
About.com: Do More.
Inspiration, Spirituality, Faith
National and Local Weather Forecast, Hurricane, Radar and Report
Welcome to Laugh Break - Laugh Break
A Time to Laugh, A Time to Cry. Funny Stories and Inspirational Stories
Energise your life with the power of colour
For Charities and Donors - U.S. BBB
GlobalGiving: donate to projects around the world supporting disaster relief, education, health, women and children, and more
Mayo Clinic
Coach for Healthy Living
Meditation Info, News, Shop, Travel & Community @ ABC-of-Meditation

HABARI ZA BURUDANI DUNIANI NA TANZANIA
Media Outrage
Music News, Reviews, Articles, Information, News Online & Free Music | Billboard.com
http://www.8020fashions.blogspot.com/
Goal.com
Vimeo, Your Videos Belong Here
YouTube - Broadcast Yourself.

KUJUA HABARI ,TAFITI ZA MAMBO NA VITU (MAKTABA YA DUNIA) NA KUHIFADHI TAARIFA
Wikipedia
wikiHow - The How-to Manual That You Can Edit
eHow | How to Videos, Articles & More - Discover the expert in you. | eHow.com
Reference.com - A Free Online Encyclopedia & Information Reference
Howstuffwork.com
www.dropbox.com

PICHA ZA KITAALAMU NA KUNUNUA PICHA:
iStock Photo: Royalty Free Stock Photography, Vector Art Images, Music & Video Stock Footage | iStock
Logo Design, Web Design and More. Design Done Differently. | 99designs
Download All You Want - HeroTurko
Welcome to Flickr - Photo Sharing
eXtropia - the open web technology company
Logo Design, Web Design and Writing by the World's Best Creative Team | crowdSPRING

MITANDAO YA KIJAMII:
Twitter
Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
https://plus.google.com
www.orkut.com.br

KUNUNUA VITU MFANO VITABU NK.
www.elance.com
www.amazon.com
Manufacturers, Suppliers, Exporters & Importers from the world's largest online B2B marketplace-Alibaba.com
Tanzania Online Shopping gateway

MASWALA YA NDOA
The Truth About Women
Marriage Counseling – Free Marriage Help from Marriage Fitness with Mort Fertel
Entertainment | Recipes | Love | Contests | Beauty | Parenting
View Tz

KUTAFUTA WAFADHILI WA NGO's au MRADI WAKO
Fragile Oasis | Community Project Categories
http://www.drkfoundation.org/process/our-grants.html
BiD Network | Preparing emerging market entrepreneurs for investors
Dell Social Innovation Challenge |

SAYANSI NA UGUNDUZI MPYA SASA DUNIANI
Gizmag | New and Emerging Technology News
All Designs,Graphics and Web Resources-Naldz Graphics
Energy, Computing, Biotech, Web, Communications, Social Tech - Technology Review
http://asd-www.larc.nasa.gov

SCHOLARSHIP ZA VYUO KUTAFUTA KAZI TANZANIA NA ULAYA MAWAKALA
Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
Public Service Management
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
SCHOLARSHIP AND JOBS IN TANZANIA
Radar Recruitment, one of East Africa's leading recruitment agencies: Home
TAYOA Employment Portal

Pangilia unachotaka kufanya kwa intaneti,usifanye tu kwa sababu linatokea, kifalsafa tunasema usipopanga jambo, sio kwamba hujapanga, ila umepanga lolote ambalo litakalo kukuta na likuchuke.

Hivyo matumizi ya intanet angalia sana yaibe sana rasilimali muda yako.

PITIA:
ACHIEVERS CLUB
ACHIEVERS CLUB
 
Dogo kwanza karibu sana JF....pili nashukuru kwa mchango wako mwanana kuhusu matumizi ya internet, ni kweli wengi wetu huwa tunapoteza rasilimali muda ktk kupuyanga mtandaoni bila uelekeo ...kwa hizo link ulizotuwekea utatusaaidia wengi pamoja nami binafsi ngoja niiweke ktk bookmark hii webpage yako kwa kumbukumbu ya baadae.

Narudia kusema asante kwa post yako murua...plz usisite kutoa post kama hizi za kuelimisha, big up
 
umesahau moja ya links ambayo nafikiri ni a must for any internet user TPB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom