Nakuunga mkono ndugu, sisi sio wa kuomba msaada, kwa hali tuliyonayo sisi ni watu wa kusaidia wasiojiweza. hebu angalia, tunayo ardhi nzuri kwa kilimo cha kila zao, Madini ya aina karibu zote yanapatikana Tanzania, Misitu ya mbao na mazao mengine, Mito na vianzo vingine vya maji, Mifugo wa kila...