Recent content by Deodatus Dickson

  1. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inashindwa kupandisha network

    Nazan kitu kama hicho
  2. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inashindwa kupandisha network

    Nilinumua mtumba wa nairobi
  3. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inashindwa kupandisha network

    Simu angu aina ya samsung galaxy a20 muda mwingi inaandika emergence call kwa line zote mbili kuna muda network inashika na kuna muda network inakata. Nimewapelekea mafundi kila fundi anasema hawezi kutatua hilo tatizo nilikua nahitaji msaada kuhusiana na hilo wadau
  4. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

    Huu uzi mbn hauendelei[emoji31][emoji31][emoji53][emoji53]
  5. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kupinga Bahati Nasibu Tanzania

    Mbn hii michezo ipo hadi mbele na bado wanasonga tu na its a legal business ndo maana inatambulika hadi serikalini so mimi sijaona haja yakuifungia
  6. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Xiaomi redmi note 4 mpya inauzwa (simu bora kupita maelezo)

    mkuu naomba nielekeze jinsi ya kutoa hio chinese rom na kuinstall hyo global stable rom
  7. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    wakuu naombeni msaada wenu nimunua mi max angu ila inae rom ya kichina nataka kuiflash nipate global stable rom naomben mnielekeze jinsi ya kuinstall hiyo global stable rom au anaejua anipe namba zake nimtafute hv
  8. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Simu za Xiaomi

    naomba unielekeze jinsi ya kufanya installation
  9. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Simu za Xiaomi

    samahani nilikua nauliza kama unaweza ukabadilisha rom kutoka chinese rom kuja global stable rom ambayo ni updatable??
  10. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    jamani je unaweza kubadilisha rom kutoka ya kichina kua global stable rom
  11. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    huyo anaeuza kupatana kwa bei nzuri
  12. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    huyo anaeuza hzo simu za xiomi unae namba zake utupostie broo
  13. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Nimekosa raha, kila niki search website ya kudownload series sifanikiwi

    Download app ya cmu inaitwa porpcorntime hapo utapata kila aina ya uchafu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Deodatus Dickson

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Ukipenda kula na ww kubali kuliwa Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom