Recent content by denzo washington

  1. D

    Ivi ile kesi ya lady jaydee na kina ruge imefikia wapi???

    Mda kidogo umepita sijasikia taarifa yeyote kuhusu ile kesi hewa aliyofunguliwa lady jaydee,naiita kesi hewa kwa kuwa mshtakiwa mwenye bado hajasomewa shtaka lake mpaka leo kama sikosei,ila nakumbuka mara ya mwisho kabla ya show ya jide tarehe kumi na tatu(13) alihudhuria mahakamani mapema...
  2. D

    Classic,elite houseboy is here

    Am 21,tanzanian citizen,looking for a house job,i have been doing house works for almost three years,i can cook delicious food,washing clothes,i also used to drive kids to school(with valid driving licence),i used to live with my relatives and I have been doing kazi zote kwa ufasaha,ni kijana...
  3. D

    Mapenzi ya kweli utapata kwa huyu

    Katika maisha kamwe usije mdharau au kumtesa mtu ambaye anakupenda,kukuthamin na kukujali kwa dhati,ogopa sana.mara nyingi inatokea unakuta mtu anakupenda kwa dhati na unalijua hilo,anafanya mambo kibao kwa ajili yako,yupo tayari ajinyime yeye ili tu wewe upate,ogopa sana kumdharau mtu wa aina...
  4. D

    Natafuta kazi wadau

    MImi ni mwanafunz wa chuo,nachukua diploma in IT,kutokana na ugumu wa maisha nimeamua kutafuta kaz itakayonisaidia kujikwamua kimaisha,chuo naingia saa sita had saa kumi so mda unaobak nikifany kaz nipat pesa sio mbaya tusaidiane wadau,mwanzo nilipat kibarua cha kuwapelek watoto shule ila bos...
  5. D

    Mitihani ya form kuhahilishwa kusahihishwa upya

    KAka inaonekana unapenda vya mteremko eeeh??? Zero ni zero haitabadilika...mnapumbazw akil tu kama mazuzu.unapenda standardazation??? Mmepat zero sasa unatak one au???
  6. D

    Nani anasema lady jaydee kafulia?

    Habari ndo hyo.... Na hao ni wale tu waliopat fursa ya kuwa na fb account bado list ni ndefu jide ni hatar na uwa habaatish mambo yake...
  7. D

    NECTA season 2 results lini?

    Si nasikia wamehairisha kusahihisha tena???
  8. D

    Mitihani ya form kuhahilishwa kusahihishwa upya

    Tetesi zilizpo kitaa ni kuwa mitian iliyopangwa kusahihishwa upya imeahirishwa kwa kuwa kuna watu waliojinyonga kutokan na matokea hayo na kuna watu waliorudia madarasa au hat kwenda chuo hivyo kusahihishwa upya kwa mitihani ni kuwavuruga wanafunzi. Hiyo ndo serikali yetu, chezea tz wewe.
  9. D

    Aunt ezekiel tena

    Nimekutana nae jana maeneo ya mwenge mtoto mzuri aisee sema kama anajichubua fulani ivi,kawa mweupeee..afu alikuw anapush toyota land cruiser,dah mtoto mkali aiseeh duh kwel kuwamilik hawa watoto lazima ujipange
  10. D

    Nani anasema lady jaydee kafulia?

    Kwa kukusaidia tu ebu kachungulie kweny facebook fan page ya lady jay dee afu angalia ana likes ngap,pumbafuuuu...jide yupo top three kati ya wanamuzik weny mashabiki wengi tz
  11. D

    Nani anasema lady jaydee kafulia?

    Unamjua mtu aliyefulia wewe?? Jide kila week anapiga band yake live tena kwenye restaurant yake mwenyew,yule mwanamke hana shida na pesa na hategemei muziki kama wasanii wengine,kama unaongelea kuwa hasikiki kama zamani hao wanaosikika wana nini kumzidi jide?? Yule mwanamke anatengeneza pesa...
  12. D

    Nani anasema lady jaydee kafulia?

    Ni dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa kumbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi? Kwa nini...
  13. D

    Lady jaydee kawachota watu??

    Ivi wewe kwa akili zako timamu ni nani anaweza mfikia jide? Lazima mkubali kutoa pongezi kwa huyu dada,kwanza ameanza game kitambo sana kuna ambao ameanz nao lakin sasa awasikik kabisa,sas kwa nn watu wasimpongez kwa hil?wako wapi kina ray c na wengine wengi? Jide anamilik band yake binafs,ana...
  14. D

    Mara clara vs second chance

    Second chance ni mwisho kwa mimi kuna binti wa ukwel issabela arroyo,huy dada nilipenda maisha yake san yupo serious sana na alivaa uhusika kupitiliza,kuna salvado,walter,valleria,rebbeca,angela,antonio,fellipe,cantalicia,don pedro donoso na wengine kibao casting ilishiba vby aiseeh..series...
  15. D

    Mara clara vs second chance

    Kati ya izi tamthilia mbili ipi ni kali?,na ni ipi iliyongoza kupendwa na watu zaidi?
Back
Top Bottom