Recent content by Denton_GrootBoom

  1. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

    Mkuu msamehe huyo Blank page 😁😁 Salute sana kwa kuleta true story which contains inspirations 🙏🫡🫡🫡
  2. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Kushuhudia mazishi yako ndotoni

    Je kuota unaona poisonous snakes jamii ya vifutu ila hawakudhuru hata, ila ww unatafuta mawe au fimbo uwapige ila usipate, ghafla black mamba uyu hapa ile kasimama akugonge utosi unamuwahi kukamata shingo unamnyonga ila anafanikiwa kukuuma kiganjani una amua na ww kumngata mpaka unatenanisha...
  3. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Unalitambuaje godoro feki?

    Qfl Dodoma vs Tanfoam Arusha which comes the first?!
  4. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Jan 2026 Kuna manouvre nifanye? Maana termination letter na certificate of service ninavyo. Tatizo ni eti investigator kaniona hazina, so hawataki kunipa ela zangu eti nitadai nikistaafu roughly 28 years to come seriously😌😌😌 Nitadai za NSSF then PSSF eti hakuna merger kila mfuko kivyake
  5. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Daaah noma sana nimenyimwa ela zangu NSSF kisa eti investigator aliniona nimetoka private (NSSF) sector ila nipo hazina(govt-PSSF) Wadau mna weza nisaidia?
  6. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Hivi Perdiem za PM na Mawaziri ni kiasi gani?! 😃😃😃 Na za presidaaa??? Pascal Mayalla @britanicca
  7. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Mkuu mbojo kwa english ni nani? Au weka picha 😂😂😂
  8. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Taja hata 3 babuuu
  9. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho

    Unaendeleaje baada ya kupuuzwa na watawala ulio waonya kwenye ule uzi wako 😃😃😃
  10. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale wanaopenda riwaya pendwa: Je, ni muhusika gani umpendaye kati ya Joram Kiango na Willy Gamba?

    Ulipokipata hiki vya Eddie Ganzel vipo pia?
  11. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale wanaopenda riwaya pendwa: Je, ni muhusika gani umpendaye kati ya Joram Kiango na Willy Gamba?

    Eddie Ganzel huyu mwamba napataje kazi zake ndg zanguniii
  12. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Naomba uitaje hapa au inbobo p'se
  13. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Jumla ya posho ni sh ngap
Back
Top Bottom