a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,979
- 2,221
SIMSHAURI MTU ACHOME PESA YAKE KUNUNUA GODORO DODOMA..haya magodoro ya DODOMA NI FECK HALISI..
ila nimeambiwa QFL ni mazuri .
ila nimeambiwa QFL ni mazuri .
Unaamka ili ulale upumzike 😂dah siji kusahau, nilinunua godoro la dodoma asili, ni gumu zaidi ya sakafu yale ni mateso siyo raha. unaamka mbavu zinauma, mgongo umechemka. yaani unalala saa mbili then saa 8 au 9 hivi unaamka upumzike
sahv nina QFL yaani ni burdani, hata Mbaga Jr na ndege secretarybird wanaweza hata kulitoboa wakapigia nyeto safi
Yaani kesho naenda Kununua hilo godoro.dah siji kusahau, nilinunua godoro la dodoma asili, ni gumu zaidi ya sakafu yale ni mateso siyo raha. unaamka mbavu zinauma, mgongo umechemka. yaani unalala saa mbili then saa 8 au 9 hivi unaamka upumzike
sahv nina QFL yaani ni burdani, hata Mbaga Jr na ndege secretarybird wanaweza hata kulitoboa wakapigia nyeto safi
Nunua qfl Dodoma au tanfoam Arusha,zingatia maelekezo yao kwenye matangazoSalama wakuu.
Nilinunua godoro la Vita Supreme. Limekuwa gumu kama jiwe hadi linaumiza.
Napata mashaka labda ni feki. Unatambuaje godoro feki? Maana nimesikia kuna watu wanayafyatua vichochoroni.
Qfl Dodoma vs Tanfoam Arusha which comes the first?!Nunua qfl Dodoma au tanfoam Arusha,zingatia maelekezo yao kwenye matangazo
wahi mkuu usirudi hata kunishukuru.Yaani kesho naenda Kununua hilo godoro.
Nakubaliana na wewe asilimia mia Moja 💪.wahi mkuu usirudi hata kunishukuru.
unajua maana ya kubold maneno? maana yake unatema madini tupu, hakika kila neno unaloandika ni nondo
wahi hilo godoro, unapitwa na utamu kijanaNakubaliana na wewe asilimia mia Moja 💪.
Ngoja kukuche kwanza.wahi hilo godoro, unapitwa na utamu kijana
Issa Tambuu.Salama wakuu.
Nilinunua godoro la Vita Supreme. Limekuwa gumu kama jiwe hadi linaumiza.
Napata mashaka labda ni feki. Unatambuaje godoro feki? Maana nimesikia kuna watu wanayafyatua vichochoroni.
sawa sawaNgoja kukuche kwanza.
QflQfl Dodoma vs Tanfoam Arusha which comes the first?!
Unapenda Godoro gumu kama umelala mkekani?Napenda godoro la aina hii!
Ndio sijui kwanini nipo hivi😅Unapenda Godoro gumu kama umelala mkekani?
Nadhani haujakutana na ule ugumu Wa mbao,aisee Godoro unalala Hadi unaamka upumzike jinsi mwili unavyouma!Ndio sijui kwanini nipo hivi😅
Kuna watu hawaamini ugumu unaweza kuwa tatizo.Aise nimenunua godoro 12 inches ni gumu kama mbao.
Mwanzoni nilidhani labda ni kwasababu ya upya litalainika lakini hali imekuwa tofauti ni zaidi ya miezi miwili mzigo haulainiki hadi nafikiria kurudia godoro la mwanzoni nililokuwa natumia hili niliuze hata kwa hasara.
Kampuni siwezi kuitaja maana ni kuharibiana biashara lakini ni kampuni kubwa tu kongwe inayoji brand kila uchwao kwamba wao ndiyo watu wa hizi kazi.
Mtu mwenye shida ya mgongo hilo godoro linamfaa sana! Kama huna shida ya mgongo huweiz kuyapenda hayo!Nadhani haujakutana na ule ugumu Wa mbao,aisee Godoro unalala Hadi unaamka upumzike jinsi mwili unavyouma!
Nilipanga kukaa wiki ugenini niliondoka baada ya siku mbili Tu!