Recent content by Dennis_elisha

  1. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tz hakuna watu kama BasketMouth, Klint the drunk, Trevor Noah, Standup Comedians

    Nakubaliana na wewe... But elimu plus TALENTS ,, Mutu anapokua talented plus educated, itamfanya aweze kuwa international comedians...
  2. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania kizazi cha gongo la mboto

    hivi atAkumbuka kweli aliyofundishwa na mwalimu¡¡
  3. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Mapungufu niliyoyaona pale Jangwani - muhimu CHADEMA kuyafanyia kazi

    Kama sijakosea, MC anaitwa JOHN MREMA, mkurugenzi bunge na halmashauri chadema, pia 2010 aligombea ubunge jimbo la vunjo na augustine mrema. Ni jembe la ukweli, labda mkuu ulipendelea avae sare but for me namkubali sana kamanda kama makamanda wengine licha ya alivyokua amevaa. BTW; thanx for...
  4. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru kesho litatoka na Kichwa Cha Habari gani, ukurasa wa Mbele ?

    CHADEMA WAGEUKA OMBAOMBA *wamewakamua wanachama wake kiasi cha kukosa nauli *
  5. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

    Yeah, nimemwona eti anasema hata kama wanaccm wote watahama na kubaki peke yake eti ccm haitakufa,,, WANATAPATAPA, UKWELI WANAUJUA KWAMBA KIAMA CHAO NI 2015,,,,,
  6. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    THE PRIDE OF KARIAKOO (DCM moja imechoka MBAGALA-Kariakoo)
  7. Dennis_elisha

    JamiiForums Tanzania Ajali ruvu: Basi linalotoka mbeya

    Duh. So sad. Very sory
Back
Top Bottom