Maggid,
Good observation! Ki-ukweli kuita kile kilichofanyika jana mdahalo ni misnomer - haukuwa mdahalo. Sifahamu sababu za lipumba kutokuwepo lakini hata kama angekuwepo value added isingekuwa worth the effort. Iko wazi kuwa mpambano wa uraisi sasa umebaki kuwa wa watu wawili Dr. Slaa na...
Kwa kweli inasikitisha sana jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotumiwa vibaya. Mwaka 2005 vilitumika kumpaka matope mmoja wa wagombea ambae alionekana ni tishio kwamba ana ndugu kwenye majeshi ya nchi za uarabuni na uchafu mwingine mwingi wa namna hiyo mpaka mgombea aliyekuwa anatakiwa...
Ili mradi tume ikiamua ku-audit mambo ya vyama vyote fairly mimi sitakuwa na tatizo nao. Je, mabango ya CCM ya kumnadi kikwete kuchaguliwa 2010 ambayo yametapakaa Dodoma nzima nayo si kampeni kabla ya wakati? Tume iwe firm but fair tuone nani atasimama!!!!
It's not that simple ndugu zangu kwa sababu naamini kura za mgombea wa urais wa chama ndizo zinatumika kukokotoa idadi ya wagombea wa viti maalum kwa chama husika. Kwa uelewa wangu chama kitakachokuwa na mgombea ndicho kitahesabiwa kuwa kimepata kura hizo na wale waliowaunga mkono hawatapata...
John Rugarabamu hewani sasa. Nimefurahi sana kupata hii chat, sikuwa najua ila ktk pekuapekua zangu nikakumbana nayo. Niko imara siku zote kutafuta haki, na ndio maana wakati nagombea urais chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2006, kichwa kikuu cha ilani yangu kilisema,"NI HAKI YETU KUDAI HAKI ZETU".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.