We jamaa fedha za Saudi hata zikiwa nyingi marekana lakin Naami trade volume Kati ya Saudia na USA ni nyingi kuna bidhaa au huduma ambazo Watu wa U SA wanahitaji direct toka saudia
Ukiangalia juu juu inaonekana hivo ingawaje mambo ni tofauti ni kama vile Ukraine inasemekana kapoteza whole Donbass mbali na Hilo juzi nimepitia kurasa za Dw inaonekana Poland na baadhi ya wafadhili tayari wameishiwa silaha katika ghala lao lakin usiamini sana taarifa za upande wowote vitani...
Inasikitisha sana hasa Kwa Hali ilivo mashuleni, jukumu la malezi Kwa watoto tumeachiwa waalimu ila huyo bwana mdogo direct anayo laana laana hii itamtesa sana bwana mdogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.