Ni mzee flan hv sema nmemsahau jina ila kama unackiclizaga sana huyo mzee ana saut nzto af hua anawashaur shaur sana af lafudh yke kama ya watu wa pemba
Hahahahaha! yn wabongo bhna ss mmeshaur nn kama co usenge kwn mapnz yana umr maalum wa kupenda achen uboya wa kizee ------- nyie kama hamna ushaur piten kushoto kwnz nyie wote tasa
Wana JF mm ni kijana mwny umr wa miaka 18 na nipo katka mahusiano na mschana flan ambae ni jiran ye2,wkt nkiwa kwny mahusihano nae dada ake alikua hajui k2 na 2likua marafik saana ila baada ya dada ake kugundua bc ametokea kunichukia saana kupita kiac mpk kufikia hatua ya kuahid kuniua kama ncpo...
Naamin kua kila m2 hupenda sana kufatilia na kutazama maigizo yanayorushwa kuptia v2o mbal mbal vya runinga,ss kuna katabia ka1 hua naona ni bora waachane nako yan utakuta lbd igizo linarushwa na itv mfano labd yule au wale waigzaj et anaangalia tv lazma channel anayoangalia iwe ni itv wkt mwngn...
Siwashangai nyie mnaniulza maswal ya ajab na wengne mnatoa kejel maana kila anae onesha kutetea hak za wa2 anaonekana mbea,muongo&mshenz ila kama una akil timam huwez kutoa mil.800 kunnua gar wkt ht gar la mil 80 lipo au hlo gar alonnua anapewa na mke
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.