Beat ya wimbo wa Ally Kiba inafanana na wimbo wa Matonya

Hahaha nashangaa mnatetea hoja yenu kwa wivi meingine huenda hao waliocopy waliacknowledge sasa huyo kiba mbona leo wakati anarelease ngoma hakusema wazi tu hii beat ni kama ya matonya

Acha dawa ikuingie dogo. Povuuu jingi. Hio ya tonya beat anamiliki yeye au producer?

Angalizo.Hizo nyimbo zote katengeneza producer mmoja. Do your homework boy.
 
el nino acha wivu wa kike ku sample beat its not a big deal.....sikiliza Zuwena~weasal & Radio Vs No one be like you~Psquare.......Me and my girlfriend~2pac Vs Just died in you arm~Jay Z.......Cha msingi hapa Kiba kawakomesha mamaeeeee zenyuuuuu

Dose alotoa kiba is way too HEAVY!
 

Attachments

  • 1425069172086.jpg
    1425069172086.jpg
    52.2 KB · Views: 154
Last edited by a moderator:
hivi kipindi kile diamond alivosample beat ya pasha napo alikuwa kaiba au? nieleweshe hilo kwanza
 
umeshasema "huenda" wame acknowledge kwahiyo hata kiba "huenda" ame acknowledge pia shida iko wapi? ukiniuliza wapi kiba ame acknowledge na mimi nitakuuliza wapi JayZ na wakina weasal wame acknowledge....ndio maana nikasema cha msingi hapa hii ni boooooonge la ngoma...Asante kiba

Ngoma ya kawaida sana
 
Wimbo mpya wa ally kiba beat inafanana na wimbo wa matonya( unanimaliza) ... Nadhani watalaam wa muziki mnaweza kugundua producer alifanya nn maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa unanimaliza..

Wanaofahamu zaidi jinsi ya kusample beat natumai watakuwa wameelewa zaidi....

Hivi kwenye dunia ya leo tunayoishi na music kutengenezwa kwa electronic devices unategemea kitu gani kipya? ....kwanza zile beat zipo tofauti ila kwa sikio lako unaweza sikia kama kitu kimoja. .....kwa matonya ametumia gitaa na kwa ally kiba katumia kama marimba. .....kwa matonya ukisikiliza tempo na pitch ya wimbo ipo juu tofauti na ally kiba. .......halafu kwenye music kuna kitu kinaitwa sampling, hata wakina Dr dre wanatumia sana. .....hapa bongo dj bonny luv kafanya sana sampling kwenye nyimbo za bongo flavour kwa sababu sio dhambi.
 
Hahaha nashangaa mnatetea hoja yenu kwa wivi meingine huenda hao waliocopy waliacknowledge sasa huyo kiba mbona leo wakati anarelease ngoma hakusema wazi tu hii beat ni kama ya matonya

Beat zipo tofauti, tempo tofauti hata pitch zipo tofauti. ........kwa kiba inasikika marimba na kwa matonya inasikika gitaa. ....sikiliza vizuri gitaa la matonya then rudi kusikiliza marimba ya kiba uone kama ni kitu kimoja. ...then nenda kasikilize wimbo wa 'shabab nampenda' wa kiba na geez mabovu, unaweza kuja na kusema kiba kajiibia beat
 
el nino hongera kwa jitihada zako za dhati kwa kujitahd wapa elimu team all k.

Ni wagumu sana. Hawawezi tofautisha.
 
Last edited by a moderator:
el nino hongera kwa jitihada zako za dhati kwa kujitahd wapa elimu team all k.

Ni wagumu sana. Hawawezi tofautisha.

Team ally hawtaki kukubali wizi wa ally na kuwa ngoma ni ya kawaida
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom