Recent content by deni

  1. deni

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Hebu weka vizuri hizi hesabu. Unapewa pesa kwa miezi 6. Miezi sita ikiisha je? Pesa yako iliyobaki inakuaje?
  2. deni

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Unafungua account kwenye simu na Account inakua tayari kuweka pesa hapo hapo. Hauwezi kutoa pesa kabla ya kukamilisha usajili. Kukamilisha usajili download form ya usajili, print, jaza, wasilisha tawi lolote la CRDB (CRDB ni wakala wa UTT). Kujiridhisha zaidi unaweza piga simu UTT na kuwauliza...
  3. deni

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    UTT wanaalika members zao kwenye annual meetings pia. Hii PDF file niliyoambatanisha ni report moja wapo baada ya annual meeting ya mfuko mmoja wapo UTT. Ungeweza kuingia website ya UTT na kupata documents nyingi sana na zingejibu maswali yako mengi sana. Wapo wengi wanaobeza hapa lakini hawana...
  4. deni

    Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    Nimejaribu kukufuata PM, nimeshindwa, system inaniambia I don't have enough permission to PM. Please nicheki PM kuhusu sources zinazo weza kuwa profitable kwa Bongo
  5. deni

    Tumlaumu Nyoka au Adam na Eva?

    Tumlaumu Mungu, mpanga yote. Nyoka, Adam, na Eva hawana makosa, bali aliyepanga na kuacha yatokee yaliyotokea wakati alikua na uwezo wa kuzuia, huyo ndo wakulaumu!!!
  6. deni

    Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

    The so called "misinterpretation" of the Qur'an leads to terrorist groups. While the so called "misinterpretation" of the bible leads into multitude of relatively benign denominations. This implies there is something wrong with Qur'an. All those verses about killing the unbelievers, killing...
  7. deni

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    40 days sijasema mimi, wamesema wataaalamu wa chanjo na sio chanjo ya korona tu chanjo ma nyingine pia... Kutokana na maswali yako nimesoma zaidi chap, nimeona sio siku 40 exactly bali ni siku chache kama chini ya miezi miwili. Unaweza kusoma na wewe mifano kwenye chanjo mbali mbali kwenye link...
  8. deni

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    History shows this is a common pattern. When new vaccines are released, the unknown side effects, if any, show up within two months of vaccination. This history goes back to at least the 1960s with the oral polio vaccine and examples continue through today...
  9. deni

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Hiyo habari ya kwamba safety inapimwa kwa miaka 15 umeitoa wapi?
  10. deni

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Mpaka sasa hakujawahi kutokea chanjo yenye kuleta side effects baada ya siku ya 40 baada ya kuchoma chanjo. Hivyo hivyo kwa chanjo ya uviko na kwa kuangalia viambata vilivyomo ndani ya chanjo za uviko, wataalamu hawategemei kama kutakua na side effects zitazoweza kutokea zaidi ya siku ya 40...
  11. deni

    Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

    Wantia Huruma. Kwani matengenezo si yanafanyika kwa ratiba au? ni rahisi kupanga ratiba na kusema siku flani hakutakua na ndege, watu wanajua kabisa wamekosa usafiri kwa wakati flani, kuliko kuruhusu watu wanakata tiketi, siku inafika unawaambia una matengenezo. Hayo matengenezo haukujua kama...
  12. deni

    Nataka kuanza kununua shares kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)

    Ni kweli, ni njia nzuri ukitaka kuona pesa yako uliyoweka akiba inaongezeka badala ya kupungua au kubaki vile vile ukiweka bank
  13. deni

    Tunavuna tunachopanda

    Mleta mada una point, kwamba, wanaume wasiwateleleze watoto. Hiyo ni point nzuri sana. Ila kuna shida kidogo kwenye reaction yako, unaonekana kama unashida umepitia na umeshindwa kupambana nayo vyema, na hisia zako zimevurugika kwa hilo, kiasi kwamba hauwezi kufikiria vyema, haswa kwenye suala...
Back
Top Bottom