Ogopa jamii ya watu wajinga kupindukia, hakika sisi waafrika [ watu weusi ] bado ni wajinga kupindukia sijui ni lini tutapambana na ujinga unao endelea kututafuna.
Hiyo mifano ya nchi zote nilizo orodhesha nazo waliuwawa tena sana kwa hiyo vifo kwenye mageuzi havihepukiki Jambo la msingi mageuzi yetu yawe na msaada kwa Tanzania nzima kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Tuzike kwanza uoga tulio nao ndio kikwazo nambari moja katika kuleta mageuzi katika taifa hili.
Jitahidi kuji elimisha kwanza kabla ya kuandika thread humu jifunze kuhusu wanawake na jifunze pia kuhusu wanaume. udhaifu ulio nao wewe usiufanye kuwa udhaifu wa jamii nzima.
N.b: Pia kaa tambua kuwa mwanaume hapaswi na ni marufuku kwake yeye kujiaminisha ni dhaifu hii ni hasara kwa familia...
Kweli kabisa, CCM hawapo tayari kwa mapendekezo yote ambayo Chadema wana taka yatekelezwe. 1. Katiba mpya ya wananchi[ hili jambo CCM hawa taki na hawapo tayari na hata katiba itakayo patikana itaendelea kulinda maslahi yao CCM mfano mapendekezo ya kikosi kazi ile yote ndio taswira halisi ya CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.