Recent content by dendaboy

  1. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Lengo la maandamano ni ili Samia Atoke madarakani Swali akishatoka akae nani?
  2. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu kuelekea D9 - Utaratibu utakuwa hivi…

    Sawa lakini sio kwenda kufa kifala kama hivyo
  3. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu kuelekea D9 - Utaratibu utakuwa hivi…

    Sasa safari hii mkeo atakukosa wewe mwenyewe ingizeni mipuwa yenu road muone kinachokwenda kuwauta mnadanganya eti kituo Cha kwanza magogoni mnachekesha sana haya andaeni sanda za kutosho mbutuka nyie
  4. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Ingieni Tena road muandamane muone
  5. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Mkuu embu ikikupendeza uelekeze jinsi Gani wanavyo scan QR ili kupata access
  6. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanufaika wa mikopo huzuiliwa kufanya mtihani ada ikichelewa wakati ada inalipwa na Serikali?

    umeileta hii mada wakati wake hebu naomba kujuwa namna ya kufanya ili kuweza kupata mkopo unaanzia wapi na unaishi wapi shukan
  7. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta ya Petroli na dizeli zashuka chini

    Hao walio na hayo mamlaka ndio wamiliki wa hayo madaladala na ndio waliochagiza nauli ipande.
  8. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta ya Petroli na dizeli zashuka chini

    Nani wa kushusha hizo nauli sasa
  9. dendaboy

    JamiiForums Tanzania FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

    Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
  10. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

    Mjitafakari sana ndugu zetu nambo ya utume na unabii Yalishakoma kitambo sana.
  11. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Kwa ufupi sana Jaribu kuchunguza Yale yaliyomo kwenye vitabu vya mungu Halafu fatilia duniani uone kama yana ukweli ama vp Mimi nakupa moja tu la sodoma na gomola Mengine fatilia mwenyewe
  12. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Fanyeni ibada sana acheni maasi na chochote utakacho fanya kinahifadhiwa na utalipwa Hii dunia na vyote vilivyomo vina mwisho wake fanya ibada halafu ukifa na ukamkosa mungu haina shida Kulikoni kuacha kufanya ibada na ukaenda kumkuta Sijui utamjibu nini
  13. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

    Allah awafanyie wepesi kwa haya yanayowafika
  14. dendaboy

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Nabii Mussa hawakuwa Wayahudi kwasababu Mama Yao hakuwa Myahudi

    Kwani nasabu inapatikana wapi kwa mama ama kwa baba?
Back
Top Bottom