Recent content by Democracy999

  1. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Swala la Zanzibar ni kitisho cha muungano na usalama wa Tanzania!

    Wapemba wanataka kujiunga na Kenya, chuki dhidi ya Tanzania Bara imedhidi viwango
  2. Democracy999

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Zanzibar tu au na Tanzania Bara pia?
  3. Democracy999

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Pia Tanzania Bara au Zanzibar tu?
  4. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Zanzibar mwandishi Ally Saleh wa Ukawa kachukua Jimbo la Malindi, pia Kwahani kwa Dr Hussein Mwinyi kaangushwa na Bilionea Mohammed Hashim Ukawa.
  5. Democracy999

    JamiiForums Tanzania ZEC yaanza kutangaza Matokeo ya Kura za Urais Zanzibar

    Kwahani cuf? Kwahiyo hiyo Dr Hussein Mwinyi kaangushwa? Mamaaaa
  6. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Over 1,000 Industries to be built as Construction of $10 billion Bagamoyo Port begins in Tanzania

    Miradi yote imehamia Mkoa wa Pwani
  7. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Atajuta kumkata Bosi wake na Mfadhili wake. Watanzania tunaelewa kuliko anavyodhani.
  8. Democracy999

    JamiiForums Tanzania January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni

    Wao si wamenunua tv zote?
  9. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Nyerere day; Katibu UVCCM mkoa Morogoro asema kutompigia kura Lowassa ni kumuenzi baba wa taifa

    Hivi kile kikundi cha Bodaboda kinachomilikiwa na ccm na kufadhiliwa na Muhindi Abood, chenye kazi ya kutafuta wamasai Morogoro, hata kwenye mabasi kisha kuua au kibaka na kisha kuua, eti bado kipo kazini?
  10. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

    Nyota ya Lowassa sio ya kuchezewa, JK kachezea Shilingi chooni
  11. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Aangalie kwanza bajeti ya kupasuliwa kila kinaitwa eti TEZI DUME.
  12. Democracy999

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ametabiri CCM kushindwa kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hata Babu wa Loliondo alimtabiria Magufuli
  13. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahaha kuhakikisha Julius Kalanga (CHADEMA) anapita bila kupingwa Monduli

    Lowassa mchawi, Tanga wale vijana wetu tuliowapeleka wampige picha akianguka nashangaa wote mia wameanguka wao baada huyu ibliss kusema pipooz
  14. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Kuna siku Lowassa alinyoosha mkono na kusema People's, walianguka na kuzirai Wanachama wetu wa CCM tuliowalepeka kusikiliza na kupiga picha iwapo ataanguka. Jamaa si mtu, amini usiamini.
  15. Democracy999

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Nae mtikila alikuwa hachangii amani ya nchi, mara azushe sijui askofu kamshika nyuma, alijisahau sana.
Back
Top Bottom