Fanikiwa sana mkuu ktk hili
Haya mambo yanatutesa wengi na kutuvuta sana nyuma
Kikubwa zingatia kuwa karbu na Mungu,ile hofu itakufanya usite kufanya mabaya
Zingatia pia kuepuka mazingira ya vichocheo vyote vinavyochangia utendaji wa tabia hizo
Mabadliko n mchakato,ANZA KIDOGO KIDOGO...
Mkuu,umenena vyema…ujumbe bora sana
Haba na haba hujaza kibaba
Kuna kitu kinaitwa compounding effect
Kupata chakula na kukila chote n tabia ya kitoto.
Kupata fedha na kuitumia yote n moja kati ya tabia ya hovyo sana.
Mtu mmoja mwenye hekima aliwah kusema “kwa kila fedha unayoipata,kiasi...
Jibu hili hapa
“Maarifa/taarifa sahihi kuhusu biashara/uwekezaji unaotaka kufanya “.
Jipe muda wa kuijua,hayo mengne yote kama management,capital,location,nk utavikuta kwnye maarifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.