Nini hupelekea biashara zetu kufeli

Mimi kwa CV yangu ya kuwa na failed business 5 mpaka sasa, na well running business kadhaa (i don't mean to brag), naweza kusema kwamba kukosa Maarifa sahihi juu ya biashara tunazoanzisha ndo kinachotuangusha sana kushindwa kupata faida na hatimaye kufunga.

Vingine vyote ukiwaza kwa makini vinadondokea hapo kwenye Possession of right Knowledge concerning your business. Maarifa ni kila kitu aisee
 
Jibu hili hapa

“Maarifa/taarifa sahihi kuhusu biashara/uwekezaji unaotaka kufanya “.

Jipe muda wa kuijua,hayo mengne yote kama management,capital,location,nk utavikuta kwnye maarifa
 
Hello great thinkers!
Hivi kwanini biashara zetu huwa zina decline????
Hatuna elimu juu ya biashara husika
Kwahyo hutufanya kuangukia hapa

Kuiga biashara bila ujuzi

Kukosa uvumilivu

Kufungua biashara eneo lisilo sahihi

Matumizi makubwa kuliko kipato

Kushindwa kuilea biashara YAKO
(Usimamizi mbovu)
 
Ufanyajinwa biashara yako, kuna jamaa ana duka la spea nimemuomba picha ya spea nayotaka kununua anadai bosi kakataa picha zisipigwe, halafu mtu huyuhuyu atakuja huku kuomba ushauri kwann hapati wateja dukani kwake
 
Kuanzisha biashara nyingi kwa mkupuo wkt huna uzoefu wa Kuuza hata karanga
 
Back
Top Bottom