Ccm historia ndo inawatesa angalieni nyakati vijana wamama wazee wameishajua uchafu mnafanya ili watu wachache waishi kifalme na wengi wakiwa masikini jana sio leo hata mchakato unaoendelea tunayoyaona hayakuwepo ndani ya ccm huo ndo ukweli
Habari za kuamka usiangalie kwa ushabiki wana ccm wenyewe wamechoka naukiona mtu anawatea ujue nae anakula nao lakini wenye akili wanahitaji mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.