Watanzania eti CCM inauchungu na raslimali za taifa?

Watanzania eti CCM inauchungu na raslimali za taifa?

mchotamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
219
Reaction score
66
Watanzania wenzangu nimeshangazwa sana Na kauli ya CCM FISADI kuwa INA uchungu Na RASLIMALI za taifa.Hakika CCM FISADI imeamua kutukebehi watanzania inatufanya wapumbavu wakati tunaiona CCM FISADI Na viongozi wake wakiwa Mstari Wa mbele kuhujumu raslimali za taifa kwa manufaa yao Na
familia zao.Viongozi hao ndio wanasafirisha twiga , meno ya tembo. Madini yetu Na kuingia mikataba feki .Nchi yetu imevamiwa Na wachina wanaovuna nyara za serikali Na serikali ya CCM inadai eti ina uchungu wakati viongozi wake ndio wezi
 
Ndio maana tunasema hatuwaamini...juzi tu wamepitisha policy za madini fasta fasta...uchungu huo wanautoa wapi? Dhambi zao zinawarudi..full kupagawa! Tumeamua kura ukawa tu..
 
Wakiongea hivyo wewe cheka tu.Na usisahau kutoa zawadi chungu iliyo stahiki yao Oktoba 25 mapema asubuhi mkuu
 
Wana uchungu sana wa moyoni wanasononeka sana na wanaumia sana
 
Back
Top Bottom