Recent content by Delacruzito

  1. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

    Eti Shekee😄😄😂🙌🏾
  2. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    EEh! Kumbe SD stands for "Standard Definition" nilikua sijuagi asee me nilikua naonaga tu napakua😂😂
  3. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Unacheza sana na SD? Hii imekaa vipi? Yani ndo inakuaje? Hebu elezea kwa upana kidogo.
  4. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    OnStream pekee ndo atapata quality anayotaka
  5. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Onstream and Youcine Tv
  6. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  7. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Naam au kuna App inaitwa Onstream na YouCine Tv hizi unaweza weka hata kwenye Smart Tv afu quality zote unapata hadi 4k
  8. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna kazi moja inaitwa The Rebel Thief Who Stole The People🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Picha linaanza mwamba demu wake alikamatwa afu wakamtumia kama chambo ili jamaa aweze ku surrender. Unaambiwa kwanza jamaa akamuweka huyo demu mshale ili mambo yasiwe mengi afu ndo vagi likawaka sasa🔥
  9. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Nadhani ni Nkiri pekee ndo imebaki
  10. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

    Yani kiufupi i'm working on chest, abs na legs. Na ni home workout no gym equipments..
  11. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

    Yani about kula for now nakula mlo mmoja for 24hrs. Kuhusu kunywa maji ya baridi nishaachaga kitambo sana. And kingine sio kwamba eti nina mwili mkubwa wala kitambi hapana. Na pia sio kwamba nataka kuingia kwenye mitindo ya fashion. A big no.. ila tu me mwenyewe napenda mwili wangu uwe fit na...
  12. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Kwakweli
  13. Delacruzito

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Me natafuta wacheza 8 pool ball
Back
Top Bottom