Recent content by dekitambi

  1. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

    Madaktari wenyewe hawafiki hata 10
  2. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kutokana na hali ya kisiasa ilivyo

    Ahsante mkuu, kwa hali ilivyo unashauri nini mkuu kwa huyu mdogo wetu maana home uchumi sio mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kutokana na hali ya kisiasa ilivyo

    Mkuu waliosoma private hio ni confirmed hawapati mikopo ya elimu ya juu hii ni kwa muujibu wa vigezo, pia uchache wa vyuo vya afya na wingi wa wanafunzi akimaliza form six anaweza asisome kile alichopanga kukisomea akajikuta anasoma vitu vingine na ajira zenyewe ndio hivyo na home uchumi sio...
  4. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kutokana na hali ya kisiasa ilivyo

    MODS kichwa cha habari kisomeke wakuu naombeni ufafanuzi kutokana na hali ya kisiasa ilivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kutokana na hali ya kisiasa ilivyo

    Mods sijakosea jukwaa, natoa angalizo pia ninaomba huu uzi uachwe humu humu jukwaa la siasa nahitaji ufafanuzi wenye uhakika, Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha nne, ana ufaulu mzuri wa Division one ya 11, ila amesoma shule ya private, kutokana na mabadiriko ya sheria ya mikopo ya elimu...
  6. dekitambi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute, nimekosa la kufanya juu ya huyu binti!

    Mkuu unaonaje ukiongea na binti kwanza ili upate kujua naye hisia zake kama ziko kwako! Vipi huyo mzee ni muelewa? Mahusiano yake na wewe pamoja na wazazi au ndugu zako yakoje? Suala la wewe kumuoa binti ni jambo la kheri na hekima hakuna mwenye akili timamu atakaye wazuia mkiwa mmepandana au...
  7. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Nitawashitaki TRA na Wizara ya Fedha kwa Rais Magufuli

    Hii inaitwa mwaga mboga nimwage ugali, piga kimya tule wote. Pop corn please.
  8. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

    Kama katiba inamruhusu mbowe kugombea tena uenyekiti achukue fomu, CHADEMA ni chama cha demokrasia na maendeleo.
  9. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Tanzània yashika nafasi ya nane Kwa watu wake kujiteka na kujiua

    Tetea hoja yako
  10. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Makini Wakiri; Kukosekana kwa Lissu Amshaamsha Imedorora

    Mkuu hebu nieleweshe kidogo hicho alichokisema Lisu, Network inasumbua huku mwamapalala village.
  11. dekitambi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

    Ndio ni ngumu kwa sababu haujafikiria kuiacha
  12. dekitambi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume wanaume msimtafute mchawi

    Nguvu za kiume ni suala la kisaikolojia shida ni kwamba hili neno saikolojia hubakia kama msamiati kwa watu wengi kutokana na uhaba wa mifano inayo akisi uhalisia, Hebu chukulia mfano umeletewa mwanamke mzuri umpendae kuliko wote duniani, ukapewa fursa ya kulala nae usiku mmoja, wakati huo wewe...
  13. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

    Weka picha
  14. dekitambi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambo gani la kukera hutoweza lisahau ambalo mkeo alikutamkia alipokuwa mjamzito? Share nasi!

    Haijalishi, But SHAME UPON YOU
  15. dekitambi

    JamiiForums Tanzania Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

    Mkuu ndiye wewe ULIYE JIPATIA UMAARUFU kule Mbeya day
Back
Top Bottom