Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

simple solution ,tafuteni curtain au kitambaa kubwa muifunike hiyo kilimanjaro yenu


if i tell a tourist ,these photos of kilimanjaro were taken from kenya ,will i be lying?? of course not ,because they were taken in kenya.
the best views will always be from amboseli ,,mta do nini ??:D:D


Mt-Kilimanjaro-natural-kenya.jpg



we can even see it from as far as nairobi


mt-kilimanjaro-19th-floor_small.jpg
ngoja tumwambia magufuli ahamishie mbeya huko usionekane kabisa..
 
So taking a photo from a neighbor's priced car/asset from ur home gives u an outright permission to claim u own the car or for that matter usage of that image in ur official communications!
 
So taking a photo from a neighbor's priced car/asset from ur home gives u an outright permission to claim u own the car or for that matter unauthorized usage of that image in ur official communications knowing the asset isn't urs!
 
ngoja tumwambia magufuli ahamishie mbeya huko usionekane kabisa..

Huko Mbeya mtakua mnaupeleka karibu na Wazambia, wale hawatakawia kupiga hela wakiutumia kama selfie background.
Halafu kuuhamisha utoke Kaskazini mwa Tanzania na kuupeleka ndani ndio mtakosa hela kabisa. Maana Watanzania wa Kaskazini huwa wamechangamka kwasababu wamepakana na Kenya, sasa mkiwapelekea Wazaramo ndio kwisha habari.
 
Huko Mbeya mtakua mnaupeleka karibu na Wazambia, wale hawatakawia kupiga hela wakiutumia kama selfie background.
Halafu kuuhamisha utoke Kaskazini mwa Tanzania na kuupeleka ndani ndio mtakosa hela kabisa. Maana Watanzania wa Kaskazini huwa wamechangamka kwasababu wamepakana na Kenya, sasa mkiwapelekea Wazaramo ndio kwisha habari.

Duh, kwa hiyo watanzania wa kaskazini bila Kenya akili zina zima. Mm wenye wapo humu acha waje muelewane, anza kuchimba kaburi mapemaaaa.....
 
Hey guys,huo mlima upo tu, acha watangaze watalii waje,wakija Kenya watafika Tanzania ,kutangaza mlima Kilimanjaro ni sawa lakini mtalii anapokuja kuupanda mlima lazima ataletwa Tanzania ,sasa ubunifu wa uhuru na Ruto au wa wawakenya uko wapi? hivi mnajua kwa nini Tz haiwezi kuendelea? hatuwezi kuendelea kwa sababu hatujiamini, vitu vidogo vinapofanywa na nchi jirani tunaona vitu vikubwa kama nini,hamuezi kuendelea kwa kuangalia kwa jifunza kutoka kwa jirani yenu ambae hana uwezo ndo kwanza nae anchechemea, kwa ufupi tu Kenya na Tanzania hata watalii wakija millions of millions bado hizo nchi mbili mtaendelea kuwa chini, maana akili zetu zinafanana na zote ziko chini,angalieni Ethiopia ambayo haina vivutio vingi lakini wanaingiza watalii wengi kuliko EAC zote ukizijumlisha, hata Durban tu ambayo ina just ocean na vivutio vya uwanja wa mipira (moses mabhida stadium),port natal lakini mji huu mmoja una attracts watalii wengi kuliko nchi zote za Africa mashariki, magufuli kila siku anawaambia morocco ina attracts more tourists kuliko nchi zote za Africa mashariki, Tatizo kubwa ambalo lipo tz na Kenya ni ushindani wa nchi mbili hizi ambazo huishia patupu kwa pande zote, ubunifu hafifu, huduma duni na miundo mbinu duni kote. Tukitaka utalii bora lazima tuangalie mataifa yaliyo juu kwa utalii wanavyofanya na tufanye kama wao au tufanye zaidi yao,data zinaonyesha mwaka jana Tanzania ilikuwa ya pili kwa baada ya Ethiopia kwa kuwa na watalii wengi na kwa mapato kwa ukanda huu wa afrika mashariki, kwa nini tusiwaze jinsi ya kumuondoa Ethiopia tukawa wa kwanza? kwa nini tusi compete na SA? kwa nini walau tusiangalie jinsi ya kufikia walau nusu ya idadi ya watalii wa morocco? lets think big,tuache hizi issue za kubishana na wakenya kila siku.
 
Ukiwa upande wa Kenya maeneo ya Amboseri national park au Oloitokitok mlima Kilimanjaro unaonekana vizuri sana kama unavyoonekana maeneo ya Arusha chini na Mererani, Mandaka au Uchira Moshi.Kuuutangaza mlima ulioko mpakani mwa nchi mbili sioni tatizo lake iwapo sisi hatuuoni kama kitu cha kujivunia na kikitangaza,Ni ruksa tu kwa UhuRuto kuvuta watalii mwisho wa siku biashara ni matangazo.
 
Nimeangalia card ya christmas ya kutoka kwa Rais wa kenya na kuuona mlima wetu wa Kilimanjaro umechorwa,Hii kitu si inaendeleza ule mindset ya watu kua Mlima huu uko Kenya,Tufanyeje wadau juu ya suala hili ambalo wenzetu wanalichukulia advantage.
 
Hivi vilele vya milima mingine havifanani kweli? Ni lazima ile picha iwe ya mlima Kilinjaro??
 
Sioni tatizo kwakuwa wao wameiweka kama background, nadhani ukiwa taveta na meneo ya jirani unauoana mlima kilimanjaro kama ulivyo kwenye picha.
 
Back
Top Bottom