Recent content by Dejamiiforum

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Naona upeo ndogo hii we unamlinganisha tundu lisu nahao wengine eeh pole yako hatulingani
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

    Je biashara ikigoma una mbadala au maana hiyo forex sio uhakika
  3. D

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamvaa Mbowe, wasema Rais Magufuli hajawahi kutamka mahali popote kama Serikali ni ya kwake

    Ukistaajabu ya muda utaona ya farao ehhheee
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Hata kwa macho tu hauoni ushindi wa nyalandu na jamaa kashafanya kampeni za kutosha tu ila sins hakika kwamba hapo ndio target nadhani bado kuna target IPO.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Australia wapiga kura kwa wingi kuruhusu ndoa za jinsia moja

    Jaribu kuchangia jambo ktk mrengo usiofungamana kwani hii itakuonyesha Ukuaji wako kifikra na si mwili je Umefanya utafiti gani kubaini nchi hiyo ni wakristo tu peke yao ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Kwa mtini Jifunzeni tusijifunze kwa makosa yetu Bali ya wengine
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tumia hekima na busara kwenye makosa ya wenzio

    Ujumbe umepenya
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tumia hekima na busara kwenye makosa ya wenzio

    Sawa kabisa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa ya Mbowe kugeuza CHADEMA kuwa kichaka cha Mafisadi, anapaswa kujiuzulu

    Mtizamo ndio unavyosema sungura sitaki mbichi hizi kumbe zilikuwa mbivu baada ya kuzikosa zikawa mbichi maji taka haya
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Forex ya Ontario

    Hii ni nini jamani weka wazi wengine hatuijui
  11. D

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Msingi sasa Miaka 6

    Sa safi sana maana watu sasa wanazeeka mapema
Back
Top Bottom