Recent content by Deinstein 01

  1. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

    Yule ni viking. Na pengine viking wa zamani walikuwa ni majitu kuzidi huyo.
  2. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

    Whether they exist or not I don't give a damn!
  3. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Wa elfu mbili mpoo? Tusikae kinyonge, pita hapa!

    😅😅😅 Kama Bruce Lee 🥷
  4. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa bweni shule za serikali ulala masaa yasiyozidi 5 kila siku. Kiafya imekaaje?

    Kule Uingereza karibia kila nyumba ina library na unakuta mzazi anamsomea mwanawe kitabu kabla hajakwenda kulala. Kwahiyo unakuta mtoto anapenda kujifunza vitu tangu yupo mdogo.
  5. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa bweni shule za serikali ulala masaa yasiyozidi 5 kila siku. Kiafya imekaaje?

    Bongo bado tuna elimu ya kiboya sana. Tunaona mwanafunzi aliyepata 1.3 kwa kuweka miguu kwenye ndoo ya maji ndo ana akili.
  6. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chanel nzuri telegram kwa movies?

    Movie box ndo mpango mzima
  7. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Mabadiliko ya tabia nchi. Kule Texas Marekani watu kadhaa wamefariki kutokana na mafuriko.
  8. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania JF DIALOGUE: Tag & Start A Dialogue With Anyone Here But Only In English Language

    This thread is full of shit.
  9. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

    Kigoma kuna pisi mzee ila ndo hivyo weusi.
  10. Deinstein 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahuni wavamia Hospitali ya Kitengela, Kuvuruga Upasuaji wa Mama Mjamzito na Kuharibu Kituo cha Upasuaji

    Nashangaa kuona watu wanasema eti GEN Z wa Kenya wanajielewa.
  11. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Ajira ni utumwa, mshahara wa kila mwezi ni adui mkubwa wa ndoto za wengi

    Sasa huyo kashatoka kwenye kundi la employees kaingia kwenye kundi la investors and businessmen.
  12. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Ajira ni utumwa, mshahara wa kila mwezi ni adui mkubwa wa ndoto za wengi

    Kila mtu ashinde mechi zake.
Back
Top Bottom