Recent content by Dehmirs

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr Slaa hajitokezi kugombea Ubunge Chaguzi Ndogo?

    zilizoachwa wazi na wabunge kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni kifo. Mtakumbuka pia kuwa tangu 2010, Dr Slaa analipwa mshahara wa mbunge ilhali yeye si mbunge. Kwa uelewa wangu, nilijua kuwa CHADEMA wanamlipa mshahara huo kwa vile walimpa dhamana ya kuwakilisha chama kwenye...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Asante ITV The super brand.

    iyo tv ya taifa
  3. D

    JamiiForums Tanzania msaada niki-download ktk pc yangu napata hii msg

    ilo co tatizo angalia default home page baada ya ku open then iwe google
  4. D

    JamiiForums Tanzania TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    umesema yote kwa upande wako, asa ukijielekeza katika kujitetea na hatua ulizo chukua ikiwa pamoja na kumuuandikia boss wako barua pamoja na kutishia kwenda mbele ya sheria ni aki yako. but jambo moja la mzingi naomba ujue 1.kwa sasa dunia ilivyo humtishi mtu 2.huna mwananchi unaemtetea cc...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    amekekutongoza lini? au kamfanyia kitu mbaya b mdashi wako nini? tuweke sawa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zitto ana siri nzito kuhusu CHADEMA na CCM na kaamua liwalo na liwe

    wana jf, napendekeza chama chetu pendwa chadema kimpatie zitto kabwe jukumu la kwenda mbele ya kamati PAC, kwa niaba ya katibu mkuu kwa vile yeye ni naibu wake, natoa oja
  7. D

    JamiiForums Tanzania Room za kupanga kwa waliochaguliwa n.i.t

    ntakusaidia piga namba hii..0715 353489 na mimi nimepata hapo NIT,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    police zaidi ya 50 wako hm kwa matata..... barabara zote za mwanza zimefungwa na police makamanda wanaendelea kupambana adi meya angoke, tuombeane
  9. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya CHADEMA kumng'oa Meya wa Ilemela - Agosti 19, 2013

    mwanza kisha nuka nyomi co ya kitoto
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chadema hela ya kufanyia mikutano wanatoa wapi?

    Kama we ni wanachama alafu ucjue pesa inapatikana je huo unafiki!!! nakusaidia cku moja uzuria mkutano then ukitoka pale utajua nje ya wafadhiri , vyama rafiki , ruzuku na nk. utajua kama pesa inapatikanaje CCM wanonge CDM wanapewa
  11. D

    JamiiForums Tanzania RPC Mwanza aruhusu maandamano ya CHADEMA

    mwanza akikisha uyo meya wa kichina anang'oka
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aandaliwa hujuma Iramba

    mwigulu na Chama Cha Majambazi (CCM), wanapambana na mda. hawajajua kuwa co chadema mbaya wao ni wakati umefika, wasubili kufa 2
  13. D

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    yafuatayo ninapendekeza katiba mpya inayoyokuja yawepo 1. serikali 3 (tuwe na mawaziri wakuu 2 tanganyika na zanzibar na raisi mmoja wa muungano tanzania) 2. wakuu wa mikoa na wilaya hawafai tuwe na serikali ya majimbo 3. kila mwaka wa bajeti selikali iainishe ni vijana wangapi wamemaliza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    mwigulu ushauli wa bule kwako, Boss wako na chama chako mmesema ivi "wapigwe tu maana tumechoka" mwigulu kauli iyo inafanya kazi now kwa vitendo wanapingwa na wanakufa sasa iyo oja itafanya kazi vipi iliali watu wenyewe mnawaua? cha msingi fanya ivi peleka oja ya kumtaka mtoto wa mkulima...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

    mwigulu ni janga la kitaifa
Back
Top Bottom