NHIF kuna sehemu mnayumba sana lakini pia mnaboa mno imagine nakatwa kila mwezi makato ya NHIF na MUNGU Wangu ananinusuru na magonjwa mazitomazito au usiumwe kabisa ndani ya miaka 6 cha ajabu kadi ikichakaa naambiwa niilipie nipate mpya.
Kwani haya makato ya kila mwezi yanafanya kazi gani kama...
Naona double double [duledule]
Hivi huu mgawo wa umeme na mfumuko wa bei za kijinga hivi vitu chanzo ni nn??!! Manake nalipa kodi yangu ili
nisipate tabu matokeo yangu nakaangika na kodi watu shida?
Sukari bei imeota mbawa unajua sielewi nasema tena shida nini ama kweli nchi hii wazalendo...
Serikali Acheni wizi wa mchana kweupe, Ondoeni hii kitu naitwa kikokotoo itawagharimu amini nawaambia hii
Inauma sana kwa maisha ya mstaafu, Mtumishi amejibana miaka kibao leo, Unamchomekea kitu cha ajabuajabu.
Ina maana Serikali imefeli kabisaaaa Kubuni fund source nyingine ya maendeleo imeona...
Hivi hii sirikali imeshindwa kubuni
Chanzo/vyanzo vya mapato vingine
Mpaka ikamkwide mtumishi wa umma ambaye ameshajichokea zake.
Hii kitu inauma sana huu ni wizi wa kutisha kuliko wizi mwingine.
Hizi sheria nyingine naomba wazitafakari kwa kina la sivyo serikali haitabaki salama kwa mlipa kodi
Maisha ni maamuzi ya mtu mwenyewe
Vile unataka kuwa ni ww mwenye kupokea
Ushauri ni suala la ziada lakini hatima ya maisha yako unayo mwenyewe
Mind set yako mwenyewe ifanyie kazi
Vizuri kuna positivity na negativity haya yote uwamuzi ni wako hiyo ndiyo siri kubwa ya maisha usitegemèe binadamu...
Asha kumu si matusi,hivi ni kwa nn
Vijana wengi sasa hawana nidhamu?
Mtu anajinadi yy ni msomi halafu anaongea utumbo sipati picha kabisa
Au silabasi zao mashuleni kuna topic za
Matusi?kwenye hii mitandao ya kijamii
Kila unapo gusa lazima utakuta matusi tena ya nguoni
Najiuliza tuna kizazi cha...
Tusi zuri sana kijana "akili za kijinga nilifikiri ni akili za kipumbavu"manake mpumbavu amevuka ujinga lakini pia kumbuka hoja hujibiwa kaw hoja
Leo umenitukana kesho lazima watoto wako wakutukane pia kwa maana imeandikwa umelelewa kwenye familia ya wajinga na ndiyo maana leo hii hukuona tabu...
Kuwa na gorofa nyingi au chache husababishwa na mazingira au geographia ya sehemu husika utaleta vichekesho kwa wenye akili mfano unalo eneo au unakaa ndani ya eneo la hekari 2 then unajenga gorofa hii haipendezi
Gorofa jengeni huko kwenye viwanja vyenu vya 20×20 hapo uko sahihi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.