Recent content by Degelingi_One

 1. Degelingi_One

  Ufugaji wa Nguruwe

  Shukrani sana Mkuu Madini hayo!!!. japo nishaanza mradi japo kwa sasa nawalisha maramoja kwa siku
 2. Degelingi_One

  Ufugaji wa Nguruwe

  Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu.
 3. Degelingi_One

  Ufugaji wa Nguruwe

  Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
 4. Degelingi_One

  Hongera Startimes kwa la Liga

  Karibu dstv... Tunasoka lisilopimika
 5. Degelingi_One

  Hivi kuna watu bado wanasomea Ualimu wa Sanaa?

  Upo sahihi mkuu.. mafundi saivi mtaani hawalali njaa..
 6. Degelingi_One

  Msaada anaejua bei ya miti nataka kuivuna

  Hebu wapotezeeni wanaosema uwekezaji kwenye miti ni biashara kichaa. They dont know what is long term investment..
 7. Degelingi_One

  Msaada anaejua bei ya miti nataka kuivuna

  Biashara ya miti ya mbao hasa hiyo miti "pines" Haina Bei ndefu kwa mkulima.. Watu wa Mufindi Na Njombe wanaliewa vizuri..
 8. Degelingi_One

  Msaada anaejua bei ya miti nataka kuivuna

  Kwa mtu wa miaka 13 kawaida Bei Ni sh 10000 mpaka 15000.. Lakini inaweza kupungua kutokana na umbali shamba lilipo na barabara.. Mzee hongera Sana umekuza na umepambana na changamoto za ajali za Moto mzee
 9. Degelingi_One

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Kwenye hizi virtual games tusiweke 3way results, labda matokeo Kama gg over/under
 10. Degelingi_One

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Off course nmesikia bundasliga wanarudi soon
 11. Degelingi_One

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Habari wakuu wa Jamvi hili la JF Ligi nyingi za mpira wa miguu duniani zimesimamishwa kutokana na Janga hili kubwa la Corona. Kutokana na janga hili makampuni mengi ya michzo ya kubashiri (Betting) yamekuja na mchezo mwingine unaitwa Simulated Reality League. Kwa wataalamu wa haya mambo...
 12. Degelingi_One

  Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

  Mkuu zoezi halijaisha na muda bado upo.. Watajitolea tuu
 13. Degelingi_One

  Corona imeniulia biashara zangu za China, nitaanza kudanga soon

  watu wa mikeka pia tumeatirika pakubwaaa!!!!!.. saivi tunaweka mikeka hata kwenye ligi ambazo hata hatuzijuii
 14. Degelingi_One

  Kiumbe hatarishi zaidi duniani

  Kwaiyo virus hawafui dafu kwa anofelesi
Top Bottom