Recent content by deez_811

  1. deez_811

    Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mzee washing machine 13kg sh ngapi
  2. deez_811

    Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

    Nadhani issue ya uraia pacha inabidi iwe na limit kama Mbunge/mawaziri na rais wasiruhusiwe kuhold office, yaani ukiwa na uraia pacha uwe 100% disqualified to hold that office Fikiria rais wako awe raia nchi nyingine tena utamwamini vipi anaweza kufilisi nchi akaondoka zake
  3. deez_811

    Je, unaijua "Biblia" ya Shetani? Pita hapa nikujuze!

    Ndugu hebu nifafanulie tafadhari tofauti ya uasherati na uzinzi
  4. deez_811

    Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

    Mkuu Gaborone ni Capital ya Botswana, wagadogou ndio capital ya Burkina Faso
  5. deez_811

    Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

    Hawanayo thats why hawa Wafaransa wanaendelea kuchukua madini yao, na kuwalazimisha kubank hela zao France, na wakitaka portion of that money "pesa zao" wanapewa mkopo kwa riba!! Wazungu hawatupendi mzee
  6. deez_811

    Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Mkuu uko sahihi Hata kama tutasimama katika kweli kwa mfano, kwa utamaduni wetu wa nyumbani na dini zetu gaysm and lesbianism hatunayo hayo mambo Lakini wazungu watatuingilia tuu sababu ya stupid mikopo wanayotupa, huwezi kwenda NBC upewe mkopo wa kununua nyumba but ukimpiga mkeo benki...
  7. deez_811

    Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Bro ukiwa ombaomba hawa wazungu watakupelekesha sana, hiki ndicho kilichotokea south africa, sababu bunge lao lilipitisha sheria ya kuchukua ardhi kutoka kwa wazungu bila fidia, Trump akasema theres a lot of shit is going on SA na sasa tunakata msaada wetu wa arv 350$ every year umasikini...
  8. deez_811

    Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

    sometimes ni ugumu tuu wa maisha, unapelekea mtu akubali kuolewa bila kupenda wengine hata wao hawana furaha katika ndoa Kama vile dada zetu wanaojiuza baadhi yao wanatamani watoke katika game ila ndio hivyo life
  9. deez_811

    Black Pope ni nani na taasisi yake ina mamlaka na mipango gani juu ya dunia?

    Nice post Nimejifunza kitu ma nimependa kwa vile umeweka na link kuonyesha source of ur post Good job Thank you 🙏
  10. deez_811

    KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Hivi lile daraja lililokuwa linajengwa na Magufuli halijamalizika bado au nini kinaendelea
  11. deez_811

    Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Halafu hii vita ilikuwa inaepukika kabisa, Zelensky alipoambiwa usijiunge NATO angesikiliza, haya yote yasingemkuta, sababu kuna mikataba tangu enzi ya Gorbachev kwamba NATO haitafika pande hizo sasa anakiona cha moto, na USA wanataka kupunguza kupunguza ruzuku yao kwa NATO ndio so hiyo...
  12. deez_811

    M23 yawatangaza Gavana na manaibu Gavana wa Kivu kusini

    Hii kitu inayoitwa AU ni zigo la 💩💩 bora ife tuu, then Africa tuigawe vipande 6, East, west, south, north and central Nchi mwanachama wa AU anakuwa na serikali 2 ndani ya nchi moja Ina maana AU wanashindwa kuwadhibiti mk23 na Rwanda au wawakalishe chini
  13. deez_811

    Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Hawana lolote wanampotosha hao. viinchi vingi vidogo vidogo vya ulaya masikini tuu Wakati Russia anamchapa Zelensky hakuna hata mmoja aliyesema nywee na Putin aliwaonya aliwaambia yeyote atakayeingilia nayeye atachapwa pia! Sasa kaka mkuu alikuwa anampa hela na vifaa, Trump kamwambia...
Back
Top Bottom