Kwani ni sheria gani inamzuia mtumishi wa umma kuwa mjasiriamali? Suala la maendeleo ya mtu ni matakwa ya mtu na namna anaona maana ya maendeleo ni nn.
Sasa sheria hazifanani kote ukute anataka nusu ya mali ili aitumie kama child support. Hakim hana mali ni za mama yake kisheria na anaweza kusema watoto warudi kwa mama yake walelewe kwao kama yeye anavyolelewa na mama mzazi kama na dada atasema anashindwa kuwalea bila msaada wa hakim. Mahesabu...
Ongea na mkeo mjipange kwa yajayo. Kingine unachoogopa wewe ni kukosa kazi (kama unayofanya sasa). Kama wewe Ndio umetoa mtaji wa genge ulitakiwa umsaidie mkeo kwenye mambo ya biashara inawezekana hana hizo abc…. Ndio maana unaona hakuna faida. Anza na wewe kujaribu kumsaidia kuuza kujua why...
Waeleze wazazi wakulipe kama unavyotarajia kwenda kulipwa huko serikalini. Jambo jingine hebu jiulize ulisoma ulichosoma ili iweje? Kama unaangalia security ya kazi basi utakuwa ni muoga wa maisha . Miaka mitano iliyopita kazi serikalini zilionekana hazina any security. Kama bussiness ya home...
Wamisri wabinafsi sana hata TZ ilipotaka kuchukua Maji Ziwa Victoria walijifanya Hawataki. Uzuri haya maji sio ya nchi moja atavutana na ethiopia lakini ataachia mwisho wa siku na Bwawa litajengwa tuu...!
Inabidi kuwa na juhudi za makusudi kupitia mitaala ya elimu yetu. Kuna masomo unaona ya na Faida lakini kinachofundishwa huko hujui utakitumia vipi kwa mazingira ya kwetu. Somo Kama la historia lingejikita zaidi kwenye mazingira ya TZ halafu mengine ni Ziada. Shida inakuja kwenye vitabu vya...
Amefundisha na Msalato pia, na alikuwa anasoma phd UDSM ndio . Alifariki muda akiwa mwanafunzi wa PhD .! Alivamiwa na majambazi wakampiga risasi. So sad yaani
Unachanganya mada, issue sio kiongozi wa Afrika kuhoji Trump Bali media kuhoji rais /mgombea. Na kuhusu viongozi wa Afrika kuhoji marais wa USA mbona ziko nyingi tuu wenyewe wanaita MAZUNGUMZO.
Kwa hiyo unataka kusema anachokiongea kwenye majukwaa kila mtu anakielewa. Hakuna mwenye maswali wala hawezi kutolea ufafanuzi baadhi ya matamko yake yenye kuleta maswali.
Kwani ungependa watokee kulala nje Waende kusoma kwenye madarasa na kupita juu ya lami sio?? Unaelewaje kuhusiana na neno majanga? Serikali ina jukumu la kutengeneza uliyoyasema BUT not on our expenses. Hata Kama ni Kweli Serikali haijengei wananchi nyumba michango iliyotolewa ilikuwa inalenga...
Tanzania haitakiwi kuegemea upande wowote zaidi ijikite kushawishi nchi mbili hizi kufikia makubaliano mazuri namna ya matumizi ya Maji. Wanayogombania. Sema Misri ni watata sana kwenye Suala la kutumia maji ya mto Nile .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.